Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Hata aje nani bila a complete overhaul of the current status quo vitu havitabadilika na huku hayo yatatokea punde...

Nguvu kazi katika karne ya sasa haiitajiki tena hivyo ajira ni tatizo na kama ajira ni tatizo katika nchi ya kipebari ambapo means of production zinahodhiwa na wachache wengi hakuna wanachopata (sababu wangepata ujira through ajira) leo hii wanachopata ni wivu tu wa kuona what they can not have.....
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Kwa msioelewa nimewaletea mkalimani

Mkalimani :

1. Biashara Bill Lugano imeshakua imeondolewa, sasa mnataka nini?
2. Ruto atoweke mandalakani? Km ndio hivyo, kwanini hitaji hili?
3. Nani anae fuatia? Ambae atakua kwa kujazia mahitaji yenyu?

Embu tufikiri kwa pamoja! Km raia tulio sawa na km washirika waaminifu wa Jamii yetu

Ni MIMI mkalimani wako Lethergo
 
Fine, kwa hiyo madai yameongezeka na siyo finance bill tena! Sasa kama watadai Roto ajiuzulu, wewe hapo unasemaje?
 
Lakini kwa mwanasheria as long as Rais hajai sign, then all is Ok! Hakuna kitu hapo, the statu quo remains !

Step by step, amekataa kusain, then with time itafutwa as they demand. sasa kula wali bungeni inaashiria nini?
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Katika siasa za Kenya kuna mambo mengi nyuma ya pazia! Kwanza nani anaratibu kikundi hiki cha GEN Z? Tunajuaje kama ni wanasiasa wenye nia ovu na Ruto? Ok sawa Katiba inaruhusu maandamano Je Katiba inaruhusu uharibifu wa mali za raia na serikali? Tuhoji km rational people!
 
Madai mengine hayo sasa.

Sidhani kama rais anaweza kuwa mpuuzi kiasi hicho cha kudanganya ili after 21 days iwe operational!
Haitokuwa first time, hili la kodi alikuwa anaenda kulipitisha , kwa kauli yake jana tena kumbebesha NIS director lawama kwamba hakumpa tarifa kuwa watu wameipokeaje hiyo bill, and one day before kurudisha hiyo bill alisema ata deal na waandamanaji?

His words himself zinafanya watu wasimuamini, na hilo ni doa . Maana he was trusted sana before uchaguzi
 
Amekengeuka
 
Hao wanataka kuangusha serikali tu,hakuna zaidi
 
Je Katiba inaruhusu uharibifu wa mali za raia na serikali? Tuhoji km rational people!
There you are! ! Hapo ndipo GEN Z wamevuruga. Walikuwa katika msitari ulionyooka, lkn baada ya kuanza uharibifu, ndiyo nikapose thread hii! Wanataka nini? Rutto aondoke? aje nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…