Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

Kuanzisha chama cha vijana, ndio njia pekee ya kuiondoa CCM madarakani !


Vijana ni wengi,hawana ajira, Wana smart phone karibia wote, ni wasomi, kinachowashinda ni kuungana.
Wakiungana ! Imetoka
Kwahiyo tunavyoambiwa CHADEMA itaiondoa sisiemu madarakani ni uongo?
 
Hahaha

Vijana wa bongo:
Machawa
Waoga
Wanaiabudu njaa
Unafiki
Usipangie watu cha kufanya. Tanzania is a free nation. Kila mmoja anahaki ya kuchagua anachotaka. Wenzako wamechagua woga basi wewe chagua unachotaka.

Tanzania is a free Nation Hatupo hapa kuiga wengine wanaishije. Wao wanachangamoto zao na sisi tunazetu.


TANZANIA RAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…