Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
- Thread starter
- #21
Tanzania yenu au yetu???Usipangie watu cha kufanya. Tanzania is a free nation. Kila mmoja anahaki ya kuchagua anachotaka. Wenzako wamechagua woga basi wewe chagua unachotaki.
Tanzania is a free Nation Hatupo hapa kuiga wengine wanaishije. Wao wanachangamoto zao na sisi tunazetu.
TANZANIA RAHA