Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

Tanzania yenu au yetu???
 
Tanzania yenu au yetu???
Kama unaona Tanzania siyo yako. Who cares. Unauhuru wa kufanya unachotaka mzee. 🀣 🀣 🀣 🀣 Unawalaumu vijana wengine kwani wewe ni mzee? 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hakuna vyama mamia vyenye nia ya ukombozi. Chama cha Ukombozi huwa ni Kimoja tu kinachowaunganisha watu wote. Wakenya ni Uncivilized people.
Nenda google tafuta maana ya "civivilized people" alafu compare maana hio na mienendo ya hao maboss wako,

tuone if u are truly civilized or just brainwashed
 
Nenda google tafuta maana ya "civivilized people" alafu compare maana hio na mienendo ya hao maboss wako,

tuone if u are truly civilized or just brainwashed
Civilization haipo kwenye google. Civilization ipo kwenye real life. Hata hapo wewe unatumia fake name.
Civilized people wanatumia flying toilets? 🀣 🀣 🀣 🀣
Civilized people wanishi kwenye Slums? 🀣🀣🀣🀣🀣
Civilized people waandamana kwenda kula ubwabwa bungeni 🀣🀣🀣🀣🀣

Orodha ni ndefu sana.

WAKENYA WANAISHI KAMA WANYAMA Take it from me.
 
Take it from u?? a brainwashed dude trying to pursuade me, no way.
 
Kuanzisha chama cha vijana, ndio njia pekee ya kuiondoa CCM madarakani !


Vijana ni wengi,hawana ajira, Wana smart phone karibia wote, ni wasomi, kinachowashinda ni kuungana.
Wakiungana ! Imetoka
Chama cha vijana? Huwajui CCM wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…