Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

Sidhani kama Ujana wao nio Hoja labda tuseme hao vijana happened kuanzisha CHAMA, sababu requirement ya CHAMA haiwezi ikawa Ujana wao bali issue ambazo mtu wa rika lolote anaweza akavutiwa nazo...

Ila sishangai wajiunge na mtiririko wa Vyama vilivyopo sasa Duniani, practically no political ideologies..., just individuals popularity....
 
Yote Kheri,,kila mmoja akale aliko peleka mboga
 
Vijana wa kenya wanajitambua. Nilibahatika kuwa na rafiki mkenya, yaani fikra zake na zetu tumeachana mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…