Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

official scandal

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
401
Reaction score
865
Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE.

Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika viwanja hivi vya ndege.

Kuna Wakenya wengi kwenye nafasi za udereva, ulinzi, wahudumu wa usafi, wahudumu wa maduka, wahudumu sehemu za ukaguzi, wahudumu sehemu za transfer na kadhalika.

Hapa kwetu huwa naona nafasi zinazotangazwa kwenda nchi za Mashariki ya kati ni nafasi za wasidizi wa kazi za nyumbani (housegirls).

Kwanini ipo hivyo?

Nafahamu kuna makampuni ya mawakala inafanya hizi kazi, badala ya kupeleka tu wadada wa kazi nadhani pia mngekuwa mnatoa pia fursa kwa vijana wa Kitanzania.
 
Tupo hapa
 
Attachments

  • FB_IMG_1746419781228.jpg
    FB_IMG_1746419781228.jpg
    51.9 KB · Views: 43
Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE.

Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika viwanja hivi vya ndege.

Kuna Wakenya wengi kwenye nafasi za udereva, ulinzi, wahudumu wa usafi, wahudumu wa maduka, wahudumu sehemu za ukaguzi, wahudumu sehemu za transfer na kadhalika.

Hapa kwetu huwa naona nafasi zinazotangazwa kwenda nchi za Mashariki ya kati ni nafasi za wasidizi wa kazi za nyumbani (housegirls).

Kwanini ipo hivyo?

Nafahamu kuna makampuni ya mawakala inafanya hizi kazi, badala ya kupeleka tu wadada wa kazi nadhani pia mngekuwa mnatoa pia fursa kwa vijana wa Kitanzania.
Wanajadili mpira na kumsifu Mama
 
Kwa sababu huko Dubai, Qatar hakuna mawakala wakitanzania waliofungua ofisi za manpower ili kuwapa watanzania kazi hizo.
Wengi wa mawakala wanafanya third-party.
Yaani unakuta wakala wa kinaijeria au kikenya, au Ghana, au wakala wa Dubai muarabu anatafuta Wakala aliyeko Tanzania.

Wakala mnaijeria au mkenya au mghana hawezi kumpa KAZI ya maana mtanzania zaidi ya uhousegirl akamuacha mnaijeria mwenzake.
 
Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE.

Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika viwanja hivi vya ndege.

Kuna Wakenya wengi kwenye nafasi za udereva, ulinzi, wahudumu wa usafi, wahudumu wa maduka, wahudumu sehemu za ukaguzi, wahudumu sehemu za transfer na kadhalika.

Hapa kwetu huwa naona nafasi zinazotangazwa kwenda nchi za Mashariki ya kati ni nafasi za wasidizi wa kazi za nyumbani (housegirls).

Kwanini ipo hivyo?

Nafahamu kuna makampuni ya mawakala inafanya hizi kazi, badala ya kupeleka tu wadada wa kazi nadhani pia mngekuwa mnatoa pia fursa kwa vijana wa Kitanzania.
Bro msichana akifika uhamiaji kutafuta passport ya kwenda Mashariki ya Kati alikopata kazi hapewi
Ataambiwa aende Tayesa Mnazi mmoja huko atarushwa ofisi Yao kuu na kukataliwa labda atoe mlungula.
 
Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE.

Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika viwanja hivi vya ndege.

Kuna Wakenya wengi kwenye nafasi za udereva, ulinzi, wahudumu wa usafi, wahudumu wa maduka, wahudumu sehemu za ukaguzi, wahudumu sehemu za transfer na kadhalika.

Hapa kwetu huwa naona nafasi zinazotangazwa kwenda nchi za Mashariki ya kati ni nafasi za wasidizi wa kazi za nyumbani (housegirls).

Kwanini ipo hivyo?

Nafahamu kuna makampuni ya mawakala inafanya hizi kazi, badala ya kupeleka tu wadada wa kazi nadhani pia mngekuwa mnatoa pia fursa kwa vijana wa Kitanzania.
Hahaha daah
 
Wapo Rwanda na Burundi
 
Kijana anakwenda kutafuta passport anaulizwa ya nini.
Kijana anasoma anaambiwa Kiingereza hakina umuhimu wowote.
Kijana anakua anaambiwa ukiwa chawa au mbeba mafaili wa viongozi wa kisiasa tayari unakuwa umeshatoboa.
Mfumo wa ELIMU ya msingi na sekondari unamfundisha kijana kuwa mnyonge.
 
Nimefanya hii kazi ya uwakala kwa muda mrefu sana. Nakiri kwamba vijana wa kitanzania bado wana changamoto nyingi sana . Nitaeleza wakati ukifika
 
Kijana anakwenda kutafuta passport anaulizwa ya nini.
Kijana anasoma anaambiwa Kiingereza hakina umuhimu wowote.
Kijana anakua anaambiwa ukiwa chawa au mbeba mafaili wa viongozi wa kisiasa tayari unakuwa umeshatoboa.
Mfumo wa ELIMU ya msingi na sekondari unamfundisha kijana kuwa mnyonge.
Kuna mambo umeyaweka hapa nadhani ndipo tatizo lilipo.
 
Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE.

Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika viwanja hivi vya ndege.

Kuna Wakenya wengi kwenye nafasi za udereva, ulinzi, wahudumu wa usafi, wahudumu wa maduka, wahudumu sehemu za ukaguzi, wahudumu sehemu za transfer na kadhalika.

Hapa kwetu huwa naona nafasi zinazotangazwa kwenda nchi za Mashariki ya kati ni nafasi za wasidizi wa kazi za nyumbani (housegirls).

Kwanini ipo hivyo?

Nafahamu kuna makampuni ya mawakala inafanya hizi kazi, badala ya kupeleka tu wadada wa kazi nadhani pia mngekuwa mnatoa pia fursa kwa vijana wa Kitanzania.
Mfuatilie Kigogo ameandika leo waliko vijana wa Tanzania
 
Kijana anakwenda kutafuta passport anaulizwa ya nini.
Kijana anasoma anaambiwa Kiingereza hakina umuhimu wowote.
Kijana anakua anaambiwa ukiwa chawa au mbeba mafaili wa viongozi wa kisiasa tayari unakuwa umeshatoboa.
Mfumo wa ELIMU ya msingi na sekondari unamfundisha kijana kuwa mnyonge.
Kijana anasoma anaambiwa Kiingereza hakina umuhimu wowote.Kiingereza ni Muhimu sana
 
Back
Top Bottom