BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Tupo viwanja tunagonga shisha
Si tu watoto wa 2000 hata vizazi vilivyopita hali ilikuwa hiyohiyo. Ukienda nchi kama Uingereza diaspora wa Kenya ni wengi kuliko hata diaspora wa Tanzania.Labda kizaz cha watoto wa 2000
Ova
Vijana wa kitanzania wamelala sana ....na huu uchawa+kukata mauno ndiyo kunazidi kuwalemazaSi tu watoto wa 2000 hata vizazi vilivyopita hali ilikuwa hiyohiyo. Ukienda nchi kama Uingereza diaspora wa Kenya ni wengi kuliko hata diaspora wa Tanzania.
NakaziaWatanzania sio wavivu ila nafikiri wengi wetu ni waoga na wabinafsi. Leo ukimwambia kijana wa kitanzania aende Marekani kitu kitakachomjia kuchwani ni ushoga na magenge ya uhalifu afikirii kuhusu opportunities.
Na pia kwenye maswala ya visa na passport tunazungushwa sana.
Serikali ya Tanzania inajari kupambana na chadema mambo mengine sio kipaumbele.Nilipo tupo watanzania wanne tu, wakenya ni wengi mno.
Kabisa, vijana wa kitanzania wengi wao wanaishi kimazoea.Vijana wa kitanzania wamelala sana ....na huu uchawa+kukata mauno ndiyo kunazidi kuwalemaza
Ova
Watanzania wengi wapo Oman na UAE (Dubai) ila sio kama Vibaraka bali watu wenye positions kubwa, atleast watu wa Pwani/Visiwani.Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE.
Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika viwanja hivi vya ndege.
Kuna Wakenya wengi kwenye nafasi za udereva, ulinzi, wahudumu wa usafi, wahudumu wa maduka, wahudumu sehemu za ukaguzi, wahudumu sehemu za transfer na kadhalika.
Hapa kwetu huwa naona nafasi zinazotangazwa kwenda nchi za Mashariki ya kati ni nafasi za wasidizi wa kazi za nyumbani (housegirls).
Kwanini ipo hivyo?
Nafahamu kuna makampuni ya mawakala inafanya hizi kazi, badala ya kupeleka tu wadada wa kazi nadhani pia mngekuwa mnatoa pia fursa kwa vijana wa Kitanzania.
Mkuu, kwa kifupi ni kwamba, hawauziki kutokana na ubabaishaji mwingi katika kupata document za kusafiria, mitala ya elimu isiyoeleweka na wengi suala la lugha kuu za kigeni ni tatizo kuu.Nimefanya hii kazi ya uwakala kwa muda mrefu sana. Nakiri kwamba vijana wa kitanzania bado wana changamoto nyingi sana . Nitaeleza wakati ukifika
Najua itaonekana kama tunajichukua ila kulinganisha wakenya na waTanzania sio fair, bora kulinganisha watanzania wa miaka ya 80 mpaka 2000 mwanzoni na wa sasa.
Hawa washkaji washatupigaga gap kitambo, ni vile kwa sababu tumewashinda kuongea kiswahili na tuna wapelekea mahindi basi tuna amini tuko nao sawa.
Sio huko tu hata kwenye hizi freelancing platforms wao wamekuwa wakipata mashavu zaidi yetu, isishangae ingawa sisi tuna amini tunajua kiswahili zaidi ili gigs za translation, transcription na interpretation za Swahili to English and viceversa ni rahisi sana kwake kupewa kuliko wewe.
Kwahiyo unataka utuambie hao wakenya wanamatumizi mazuri ya L and R, A na Ha, Za, Dha na Tha?Wabongo gani wanajua sana kiswahili hawa wasiojua tofauti ya L na R? A na Ha? Za, Dha na Tha? Wabongo hawajui lugha yeyote ile Swa wala Eng.
Online gigs zitakuja vp bongo wakati BOT wanaona hata PayPal ni scam? Hii nchi ni bongolala kuanzia juu hadi chini.
Kwahiyo unataka utuambie hao wakenya wanamatumizi mazuri ya L and R, A na Ha, Za, Dha na Tha?
Kwenye Kiswahili bongo tupo vizuri ila English wengi wetu hatujui.
Naona kama hii nchi imelaaniwa sijui ...ulimwengu wa digitalization PayPal inaonekana scam? Kuna siku nilishindwa kumtumia mtu pesa ambaye Yuko nchi flan afrika kwa wakati ..ilinichukua wiki nzimaWabongo gani wanajua sana kiswahili hawa wasiojua tofauti ya L na R? A na Ha? Za, Dha na Tha? Wabongo hawajui lugha yeyote ile Swa wala Eng.
Online gigs zitakuja vp bongo wakati BOT wanaona hata PayPal ni scam? Hii nchi ni bongolala kuanzia juu hadi chini.
Hao wa online wapo vizuri kwenye kuandika kiswahili na usikute wamesomea kiswahili vilevile. Ila kwenye kukiongea kiswahili watz tupo vizuri kuliko wakenya.Nenda popote pale online leta mkenya mmoja tu aliyekosa matumizi ya hizo herufi mimi nitakuletea 100. Imefika hatua kuona mitanganyika imefanya matumizi sahihi ndo nashangaa.
Naona kama hii nchi imelaaniwa sijui ...ulimwengu wa digitalization PayPal inaonekana scam? Kuna siku nilishindwa kumtumia mtu pesa ambaye Yuko nchi flan afrika kwa wakati ..ilinichukua wiki nzima