Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

Vijana wenyewe ni akina mwashambwa na choice variables wameridhika kbs na kazi ya kulamba makalio ya watawala hahhaahahaaa
 
Serikali haijaweka urahisi wa kupata passport, ni kama inazuia vijana kwenda nje ya nchi.

Pia haiwalindi hata hao wachache waliokwenda nje, mfano hao mahausigeli wakibakwa badala ya serikali kusema tutapambana mpaka kuhakikisha haki ya mhanga inapatikana, wao husema kuwa watanzania msipende kwenda ughaibuni, fursa zipo hata nyumbani, bakini mpambane huko. Fursa zenyewe sasa, ni kilimo😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…