The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wadundwe tu [emoji28][emoji28][emoji28]Ili ujinga uwatoke huyo Muhammad ana wasaidia Nini ktk ustawi wa uchumi wa IndiaIndia katika kuchapa bakora wako vizuri kweli kweli ngoja wafia dini waje na povu
Badala Mungu ajitetee mwenyewe sasa wao wanamtetea maajabu haya![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wapigwe tu , mijitu Mijinga Ina muabudu binaadamu mwenzao mfu (mzimu )
[emoji28][emoji28] you said it allBadala Mungu ajitetee mwenyewe sasa wao wanamtetea maajabu haya!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Wakina nani Wanamuabudu binadamu mwenzao ?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wapigwe tu , mijitu Mijinga Ina muabudu binaadamu mwenzao mfu (mzimu )
Wapi Mola amesema watu waandamane ?Ajabu ni kwamba mungu ana waacha watu wake wanao muamini wadundwe [emoji28][emoji28][emoji28]
Wapi tumewahi kumtetea Mola ? Mola hana haja hiyo na sisi hatujawahi kumtetea, mwenye kutetewa ni mwenye uhitaji. Mola wetu hana uhitaji huo, wala chochote toka kwetu ahitaji ndiyo maana wewe na ujinga wako amekupa uhuru wa kufanya unachotaka na anakupa rizki na pumzi mpaka pale siku ahadi yako itakapo fika ya kuondoka hapa duniani.Badala Mungu ajitetee mwenyewe sasa wao wanamtetea maajabu haya!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Pale mgonjwa anapo waona wazima kuwa ni wagonjwa.Dini ni ugonjwa mbaya sana kuwahi kuikumba dunia..mbaya zaidi hata wagonjwa wenyewe wanajiona wazima.
#MaendeleoHayanaChama
Nani alikwamba msaada mpaka uwe wa kiuchumi ? Hata ukisaidiwa namna nzuri ya kuitumia akili yako ni msaada mkubwa sana kuliko kupewa mali zote.Wadundwe tu [emoji28][emoji28][emoji28]Ili ujinga uwatoke huyo Muhammad ana wasaidia Nini ktk ustawi wa uchumi wa India
Wauza Ngada (Bangi) tu hao ...Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu.
Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India wakaamua kuandamana, ona kilichowakuta.
Kiongozi mmoja wa chama tawala cha BJP ndio ametoa hii video akisifu jeshi la polisi kwa kuwashikisha vijana adabu na kutoa onyo kwamba India ni ya wahindu sio waislamu.
Wakina nani Wanamuabudu binadamu mwenzaWaislam