The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu.
Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India wakaamua kuandamana, ona kilichowakuta.
Kiongozi mmoja wa chama tawala cha BJP ndio ametoa hii video akisifu jeshi la polisi kwa kuwashikisha vijana adabu na kutoa onyo kwamba India ni ya wahindu sio waislamu.