Vijana wa kike wengi wa Tanzania kuongelea mapenzi, mahusiano na ngono zaidi inaashiria nini?

Jf ni ushahidi tosha.

Hawapendi mambo magumu magumu, ishu ya ndoa tu inawaumiza vichwa waanze kuwaza na siasa tena si utawapasua.
 
Sidhani kama ni sahihi sana kutumia mfano wa maji na gravity katika kufanya tathimini ya social behaviour ya binadamu au mnyama.

Suala la nani ana akili zaidi kati ya mwanaume na mwanamke unaweza kuwa mjadala mrefu sana pia japo wanasayansi wanasema hakuna utofauti, ila utofauti upo kwenye predisposition ya jinsia katika mambo fulani mfano wanaume wengi hupenda zaidi masomo ya engineering kuliko wanawake huku wanawake wengi wakipenda labda masomo ya nursing zaidi kuliko wanaume wengi.

Sidhani pia kama ni suala la mfumo dume ndio unaosababisha hali hii kwa sababu wanawake wengu wapambanaji, wajasiriamali wakubwa na "independent" katika biashara hapa bongo wengi wanatoka jamii zenye mfumo dume wa hali ya juu zaidi kuliko zile zenye mfumo dume mwepesi.
 
Mfano wa maji unaweza kutumiwa katika social behavior. Social behavior hai exist katika non physical universe, ina exist katika physical universe.

Point muhimu ni kwamba people choose the path of least resistance. The same as rivers.

This explains kwa nini hata wanawake wanaoweza kufanya biashara wanategemea ma sponsor. Kwa nini mtu ajisumbue kufanya kazi ikiwa anaweza kuweka mitego ya kuhudumiwa tu?

Hujajibu swali, kwa nini wanawake wanakuwa tegemezi zaidi? Nimekupa options mbili za akili ndogo au kukandamizwa na mfumodume, umezikataa zote lakini hujatoa jibu.

Ningekuelewa zaidi kama ungezikataa hoja zote na kutoa hoja ya ziada ambayo haipo katika hizo mbili.
 
Demand and supply ya K ndio chanzo HALISI.
 
ubongo wao unafanya kazi vizuri ndio wanarefresh kwa kuzungumzia mapenz na hali ya mahusiano yao pia
 
Ninkwamba ngono imetikiwa mkazo
 
Kudanga, uchawa, siasa, hizi field tatu zinaenda kuliangamiza taifa.
 
Hamuwapekekei moto wa kutosha,sisi enzi zetu walikuwa wanakimbia mpambano,nyie mnawagusagusa tuu!
Izo enzi zenu si ndo iliibuka misemo ya kitanda hakizai haramu, kuchapiwa siri ya ndani n.k mngekua mnawapelekea moto kama unavyosema msingetombewa
 
Suala la utegemezi wa wanawake kwa wanaume linaweza kuwa katika muono wa Evolutionary psychology zaidi, hiyo ndio sababu unaweza kukuta mwanamke mwenye akili, aliyetoka familia bora na isiyo na mfumo dume na hata pia ana kipato kizuri kuendelea kumtegemea mwanaume zaidi.
 
Kiidadi wanaume na wanawake wako karibu sawa.

Hapa unamaanisha nini? Wanaume wanapenda kujamiiana kuliko wanawake?
Ndio, zamani kujamiiana ilikuwa mpaka kwenye ndoa. Baadae hapa katikati kupewa K mpaka umehangaika miezi na miaka. Siku hizi ni mwendo wa pesa yako tu. Pesa inakuwa shortcut ya kupata K tena za grade ya juu ndani ya muda mfupi. Kuliko zamani. Kwa hiyo kwa upande wa wanaume(demand) demand ya K ipo juu mno na wanaume wanataka shortcut ili kula K za pisi kali. Ndio maana unakuta mtu anahonga 50k, laki, laki 5 mpaka milioni na zaidi ili kupata supply ya K bila kona kona au kuzungushwa.
Upande wa wanawake (supply) wameshashtukia mchongo, kuna ambao ni wadangaji, prostitutes na wale wa undercover prostitutes au semi-bitch au wadangaji wa kimyakimya ambao wanajipatia mahela toka kwa wanaume wanaotaka supply ya K. Hii kuongea kwa wazi ni indirect marketing strategy kuvutia wateja. Wengine wanapiga picha mapaja yapo wazi, mahipsi yanaonekana wengine wamegeuza makalio yao makubwa kwenye camera ili kupata attention ya wateja/wanaume(demand)




Kwa hiyo ni Demand and Supply ya K ndio chanzo HALISI





OVA
 
Unaelewa kuwa kushindwa kuishinda evolutionary psychology nako ni kukisa akili?

Kwamba, leo watu wanafanya mpaka gene editing na CRISPR, kui direct evolution yenyewe, kushindwa kutatua matatizo ya evolutionary psychology ni ishara ya akili ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…