Vijana wa Kisambaa kwa umarioo hamjambo

Vijana wa Kisambaa kwa umarioo hamjambo

Kula chuma hiyo.

Kusah Vs Aunty Ezekiel

Rich mitindo Vs Jacklin Wolper

Lugendo Vs Shamsa Ford

Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika Kwa uchapakazi?

Mnakera.
[emoji16][emoji16]kwahiyo ni kipaji
 
Hata kuwashibisha na kuwatosheleza hawa makumbembe nayo ni kazi kubwa sana afadhali hata ukafyeke pori kuliko kuwa mume wa haya makumbembe
Mfianchi umeongea kwa uchungu sana.😄 Hao magumegume waliotajwa wamepigana vita vingi sana vya papuchi vs dudu, yaani hadi kuja kutulia na hao vijana wa kisambaa damu za watu zishamwagika sana.
 
Sema wasambaa hata dada zao wanapenda sana kukatika. Yaani hiyo ndio starehe yao. Mitaa ya kati nilimpataga mama lishe mmoja wa kisambaa mweupe mweupe hivi, anapiga game ambayo sijawahi kukutana nayo before. Yaani nyumbani nilikuwa naenda kubadilisha nguo tu kila siku naenda kulala Manzese. Na ilikuwa sio naenda kulala usingizi, nilikuwa naenda kukesha. Maana ilikuwa kila siku yale maspika ya msikitini alfajiri yalikuwa yanatukuta bado tuko macho. Yule dada angeniua, maana nilikuwa nakuja kijiweni asubuhi nasinzia.
 
Kula chuma hiyo.

Kusah Vs Aunty Ezekiel

Rich mitindo Vs Jacklin Wolper

Lugendo Vs Shamsa Ford

Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika Kwa uchapakazi?

Mnakera.
Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika Kwa uchapakazi?[emoji3064][emoji848][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom