Vijana wa Kisambaa kwa umarioo hamjambo

Vijana wa Kisambaa kwa umarioo hamjambo

Kula chuma hiyo.

Kusah Vs Aunty Ezekiel

Rich mitindo Vs Jacklin Wolper

Lugendo Vs Shamsa Ford

Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika kwa uchapakazi?

Mnakera.
Kuishughulikia hiyo minyangumi ni kazi ndogo?
 
Anayesema wasambaa wavivu nadhani hawajui vizuri.

Ni moja ya watu wachapakazi sana wasiochagua kazi. Katika makabila yote ya Tanga, wasambaa are the best, kwanza walitakiwa wawepo kilimanjaro ni basi tu.
 
Wasambaa hawana hulka ya uvivu. Wasambaa wana hulka ya kujishughulisha kufanya kazi mbalimbali kwa bidii na pia hupenda kujitafutia chakula chao kwa jasho. Na ndiyo maana Wasambaa hawachagui kazi za kufanya, lakini pia huwezi kusikia Wasambaa wamekufa kwa sababu ya njaa.

Kutumia mifano ya vijana watatu Wasambaa mnaowaita marioo, haiwezi kutumika kama case study ya kuonesha Wasambaa wote ni wavivu.
Umemaliza. Uzi ufungwe
 
Back
Top Bottom