Vijana wa Kisambaa kwa umarioo hamjambo

Kwenye list yako mu add babake mdogo Diamond, Uncle Shamte!.
Wanaume wa kisambaa wanapenda sana mteremko, wanafanana tabia na Wacongoman!.
Kujiremba ili wapate wamama wa kuwalea...wavivu balaa wanachojua msingi wao ni kiuno tu.
 
Wasambaa hawana hulka ya uvivu. Wasambaa wana hulka ya kujishughulisha kufanya kazi mbalimbali kwa bidii na pia hupenda kujitafutia chakula chao kwa jasho. Na ndiyo maana Wasambaa hawachagui kazi za kufanya, lakini pia huwezi kusikia Wasambaa wamekufa kwa sababu ya njaa.

Kutumia mifano ya vijana watatu Wasambaa mnaowaita marioo, haiwezi kutumika kama case study ya kuonesha Wasambaa wote ni wavivu.
 
Ha ha ha...pole Sana mkuu[emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani wanatakuwa wamechanjia kitu kinaitwa MUKU.

Hii MUKU unaweza kuchanja kwa mganga wa kienyeji kwa madhumuni makuu 2.
-- Mapenzi kitandani.
--mapambano ya kupigana.

Hao wanaolelewa na wadada wa mjini wao wamechaguwa MUKU ya kitandani.
Hyo ni Zaidi ya mkuyati.
[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Umemjibu vzr saana. Mimi sio msambaa ila nimeishi na wasambaa toka utotoni mpaka ukubwani ni watu wanaojituma saana. Kama ni shambani wanajua namna ya kuweka shamba katika mfuatano wa majira ya mwaka. Ila tu wasambaa wengi hawataki kazi za kuumiza fikra zao saana.
 
Hili ni kweli. Tanga si wavivu, ila Arusha ni wavivu hakuna mfano
 
Atutake radhi kabisa ,sisi ni wapambanaji bila ya back up plan ile kuanza kuuza karanga mpaka unatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…