Vijana wa Kisambaa kwa umarioo hamjambo

Kula chuma hiyo.

Kusah Vs Aunty Ezekiel

Rich mitindo Vs Jacklin Wolper

Lugendo Vs Shamsa Ford

Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika kwa uchapakazi?

Mnakera.
Kuishughulikia hiyo minyangumi ni kazi ndogo?
 
Anayesema wasambaa wavivu nadhani hawajui vizuri.

Ni moja ya watu wachapakazi sana wasiochagua kazi. Katika makabila yote ya Tanga, wasambaa are the best, kwanza walitakiwa wawepo kilimanjaro ni basi tu.
 
Umemaliza. Uzi ufungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…