Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

Nimebahatika kuishi huko south jozi area gauteng maeneo ya rostvile.
Aisee yani kama ufanyi biashara haramu kwa wale wazamiaji utoboi.
yani mtu kakimbia tz kwao alafu anaishia south kuuza duka au sigara ambapo nyumbani alikuwa anakataa hizo kazi.
umafia ni mwingi na kila mtu kachanganyikiwa huko unaweza kujikuta una msongonwa mawazo kutoboa na ukawa mlevi au mtumiaji wa madawa.

watu washakata tamaa huku mafanikio ni ya wachache.

Maisha ya nchi zilizoendelea kuna maskini kweli kweli na tajiri kweli kweli.
 
Huyo anayetuhumiwa kwa Murder alikuwa anaficha sura yake maanake alishadhamiria kuua tena nadhani ni Mtanzania mwenzake.
 
Back
Top Bottom