Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hiiiii...!!Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa.
Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume.
Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na kutuliza shida zao. Na ndio maana ndoa ni kama fasheni huku hawaishi maisha ya ndoa. Wanachepuka na kupigwa kama mbuzi.
Mwanamke aliyetayari kukaa ndani ya ndoa huwa mtiifu na atailinda ndoa yake kwa kila namna.
Ila hawa vinuka mkojo wa leo ndio wanasababisha mauaji kila siku.
Yule jamaa ni kijana? Nafikiri Kila mtu aende na rika lake, muda wako ukipita, kubaliana na uhalisia, lea watoto, wajukuu na mwanamke wa ujanani mwako, sio kufukuzia watoto!Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa.
Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume.
Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na kutuliza shida zao. Na ndio maana ndoa ni kama fasheni huku hawaishi maisha ya ndoa. Wanachepuka na kupigwa kama mbuzi.
Mwanamke aliyetayari kukaa ndani ya ndoa huwa mtiifu na atailinda ndoa yake kwa kila namna.
Ila hawa vinuka mkojo wa leo ndio wanasababisha mauaji kila siku.
Mwanadamu anabadilika sana, bora mkishindwana mnakeep distance hadi upepo upite
MADA ILITAKIWA ISOMEKE "MABINTI WATAUWAWA SANA NA WANAUME" NDIYO INAMATA ZAIDI WALA SI "VIJANA".Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa.
Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume.
Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na kutuliza shida zao. Na ndio maana ndoa ni kama fasheni huku hawaishi maisha ya ndoa. Wanachepuka na kupigwa kama mbuzi.
Mwanamke aliyetayari kukaa ndani ya ndoa huwa mtiifu na atailinda ndoa yake kwa kila namna.
Ila hawa vinuka mkojo wa leo ndio wanasababisha mauaji kila siku.
Biashara za watu hizoMiujiza au mazigaombwe
Mbona makanisa ni mengi sana na uovu haupungui
Kuna sehem mtoa mada kamzungumzia mtu yeyote na kusema huyo mtu ni kijana?Yule jamaa ni kijana? Nafikiri Kila mtu aende na rika lake, muda wako ukipita, kubaliana na uhalisia, lea watoto, wajukuu na mwanamke wa ujanani mwako, sio kufukuzia watoto!
Mie nawakula tuNi ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa.