Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,297
- Thread starter
- #41
DefinitelyKuna haja ya kuwa na mijadala ya wazi kuhusu jambo hili. Ni moja ya mada muhimu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DefinitelyKuna haja ya kuwa na mijadala ya wazi kuhusu jambo hili. Ni moja ya mada muhimu sana.
Kuna watu wanawadekezaNi kweli ajira ni ngumu lakini huweki kukosa kibarua cha kupata hata 100,000 kwa mwezi hapa Dar.
Mtu anayejitambua aliyeelimika, awezi kuangalia jamii,Wewe ndio umenena. Wazazi wanowaruhusu wapo. Shida ndio ipo kwenye jamii wanakuonea huruma sijui kama wao ndio wanafanya.
Habari za jumapili wana Jamii Forum
Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi
Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato, huko kwenye vikoba ndo usiseme wanawake wameamua kutafuta hasa tofauti na zamani
Lakini upande wa pili kuna uvivu na kujisahau ambapo trend ikiendelea hivi kuna hatari kubwa mbeleni
Wanaume hasa hawa wanaojiita graduate mnapotea kaka zangu, najua mmesoma bodaboda mnaona si hadhi zenu tena, saidia fundi pia siyo hadhi yenu kuuza matunda siyo hadhi yenu mmebaki mnatembea na bahasha kutwa kutafuta kazi, ebu ndugu zangu acheni u brazamen wa kishamba, jichanganyeni hakuna pesa inakuja kukugongea mlango lazima tu uitolee jasho kidogo, mbona wadada wazuri tu wanajishughulisha??
Kuna mtoto wa ndugu yangu alifikia kwangu ili aende interview jamani anaamka saa tano akiamka anaamka na laptop na muvi, anakunywa chai anaendelea na muvi mchana anakula anaendelea na muvi narudi nyumbani nipo hoi bin taaban yeye hata kuoga ajaoga,saa mbili na nusu tunakula dinner ndo anamwambia dada akampashie maji ya kuoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huyu mtu hata akipata kazi si mzigo huu??????
Huu ni mfano lakini wanaume wa aina hii ni wengi sana
Wakati ambapo dunia ipo busy kuimpower mtoto wa kike hebu Wazazi wekeni juhudi kidogo na kwa watoto wa kiume, wajitambue na kuwafundisha kufanya kazi kwa mikono yao wenyewe.
Ni Aibu sana
Kama kibarua kipi kwa mfano unachokijua wewe?Ni kweli ajira ni ngumu lakini huweki kukosa kibarua cha kupata hata 100,000 kwa mwezi hapa Dar.
Nyie ni wale wale,Sasa anaingia kuuza matunda mtaani bila mtaji?
Hakuna mtu anaeweza kukaa kwa kupenda bila kuingiza kitu watoto wa kiume sisi misoto yetu huwezi fananisha na watoto wa kike. Mwanaume unaweza kukaa huna hata buku wiki nzima na una hujui unaipata wapi na huna kazi na kwenu mabovu.
Huwezi fananisha nyinyi watoto wa kike na watoto wa wakiume hata kidogo, unavyosema wanacheza sijui vikoba tunawaona wengi tu wanalipiwa na vidume mitaji midogo midogo ya biashara pia mnapewa na masponsor wengine hata mpaka mpaka magari.
Kwa mwanaume tena uliekulia familia ya milo milwili na wawazi wanakutegemea hiyo hela ya kuuza matunda au mama lishe unaitoa wapi kama sio uzunguke na bahasha ili upate kazi ndio upate kianzio.
Wapeni vianzio basi kama mtu anatashindwa kufanya kitu huyo kweli atakuwa na shida sio mnawasema watu tu bila kuwasidia... Mtu kaja kwako siku moja tu umeashaanza kumjaji ulitaka afanye nini sasa kama ni mgeni hapo na hana wenyeji na wala hajaja kwa ajiri ya biashara?.
Mi ndio maana kwa ndugu siendagi kabisa bora uende kwa washikaji kama huna hela ya gest.
Mimi pia nimepita Arusha siyo siku nyingi ukitazama pale stand kuna la kunifunzaJuzi tena nimepita pale Arusha stendi kuu aisee nilishangaa akina mama siku izi ndio wanabeba chaja za simu, soda, biskuti, pawa benki, edifoni, miwani, majenereta, betri za magari, injini za bajaji, nk wanatembeza kwenye mabasi. Wakati huo kwa pembeni pale kuna benchi utakuta vijana wamekaa wanapiga stori tu na kuangalia wadada wenye misambwanda wakipita wanaanza kuwapigia miluzi.
Hii trend ikiendelea hivi ntamuolea mwanangu mkeKiukweli mimi sijui tunakoelekea.
Na sasa hivi naona wanawake wanatafuta pesa wakipata, wao ndio wanaoa.
Shilole kila siku yeye ndio anaoa.
Wanaume wamegeuka wengine mashoga, wengine chawa, wengine omba omba wa kutisha aisee.
Sijui miaka 10 mbele itakuwaje.
Taasisi ya Familia imetikisika.
Sana, then kama hatuzibi UFA tunakwenda kujenga ukuta siku si nyingi, coz tumeandaa kina mama kwa muda wa kutosha ila vijana wakiume wamesahaulika, sasa mama akishakuwa na nguvu economical, social, na hata kifikra ni ngumu mwanaume kukubali hiyo hali kutokana na natureKwakweli hali ni mbaya mnoo ...
Ofcoz mimi ni mtu niliepitia msoto huo mpaka kufika nilipo sasa, But issue ya msingi wasidieni basi waache kudhurula na bahasha pengine nyie hamkubahatika kuteseka baada ya shule zenu.Nyie ni wale wale,
Siezi enda kwa mtu nikalala mpaka saa tatu hata kama sina kazi
Uwezi kuamka ukasaidia hata kuchota maji, kufagia kumwagilia maua???
Acha kutetea Ujinga
Mkuu pengine ww unajitambua lakini wengi nisifuri mm nifundi kujenga tunakutana nao tatizo lipo nduguSasa anaingia kuuza matunda mtaani bila mtaji?
Hakuna mtu anaeweza kukaa kwa kupenda bila kuingiza kitu watoto wa kiume sisi misoto yetu huwezi fananisha na watoto wa kike. Mwanaume unaweza kukaa huna hata buku wiki nzima na una hujui unaipata wapi na huna kazi na kwenu mabovu.
Huwezi fananisha nyinyi watoto wa kike na watoto wa wakiume hata kidogo, unavyosema wanacheza sijui vikoba tunawaona wengi tu wanalipiwa na vidume mitaji midogo midogo ya biashara pia mnapewa na masponsor wengine hata mpaka mpaka magari.
Kwa mwanaume tena uliekulia familia ya milo milwili na wawazi wanakutegemea hiyo hela ya kuuza matunda au mama lishe unaitoa wapi kama sio uzunguke na bahasha ili upate kazi ndio upate kianzio.
Wapeni vianzio basi kama mtu anatashindwa kufanya kitu huyo kweli atakuwa na shida sio mnawasema watu tu bila kuwasidia... Mtu kaja kwako siku moja tu umeashaanza kumjaji ulitaka afanye nini sasa kama ni mgeni hapo na hana wenyeji na wala hajaja kwa ajiri ya biashara?.
Mi ndio maana kwa ndugu siendagi kabisa bora uende kwa washikaji kama huna hela ya gest.
Mtoa mada ,mtoa mada umeangalia kwa makini au umeandika andika tu?, umeshawai kumuona mwanamke akiuza ice cleam za bakhresa kwa vile vibaiskeli? Umekwenda pale buguruni ukute vijana wangapi wa kiume wanafanya kazi za kupakia ngano , ushawai kukuta gari za pespi ,koka, au za kusambaza maji wanapakia au kushusha wanawake. Ushawai unajua waendesha bajaji asilimia kubwa ni wanaume, unajua boda boda wengi wanaume ,unajua makondacta na madeleva wa daladala wengi wanaume, ukija na hoja fanya tasmini kwanza sio unakuja kubwabwajatu, kama ulikuwa hujui mwaka huu ndio tumepata rais nwanamama huko kote tulikuwa na marais wa wanumeHabari za jumapili wana Jamii Forum
Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi
Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato, huko kwenye vikoba ndo usiseme wanawake wameamua kutafuta hasa tofauti na zamani
Lakini upande wa pili kuna uvivu na kujisahau ambapo trend ikiendelea hivi kuna hatari kubwa mbeleni
Wanaume hasa hawa wanaojiita graduate mnapotea kaka zangu, najua mmesoma bodaboda mnaona si hadhi zenu tena, saidia fundi pia siyo hadhi yenu kuuza matunda siyo hadhi yenu mmebaki mnatembea na bahasha kutwa kutafuta kazi, ebu ndugu zangu acheni u brazamen wa kishamba, jichanganyeni hakuna pesa inakuja kukugongea mlango lazima tu uitolee jasho kidogo, mbona wadada wazuri tu wanajishughulisha??
Kuna mtoto wa ndugu yangu alifikia kwangu ili aende interview jamani anaamka saa tano akiamka anaamka na laptop na muvi, anakunywa chai anaendelea na muvi mchana anakula anaendelea na muvi narudi nyumbani nipo hoi bin taaban yeye hata kuoga ajaoga,saa mbili na nusu tunakula dinner ndo anamwambia dada akampashie maji ya kuoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huyu mtu hata akipata kazi si mzigo huu??????
Huu ni mfano lakini wanaume wa aina hii ni wengi sana
Wakati ambapo dunia ipo busy kuimpower mtoto wa kike hebu Wazazi wekeni juhudi kidogo na kwa watoto wa kiume, wajitambue na kuwafundisha kufanya kazi kwa mikono yao wenyewe.
Ni Aibu sana
Sana halafu kesho huyo unasikia nibabaKwakweli hali ni mbaya mnoo ...
Itabidi nikutafte mama la mama untoe aibuWanaume wengi mna aibu...sijui kwanini....
Mimi nilitoka advance nikiwa nina mhemko balaa kwamba siwezi kufundisha shule bila kulipwa Tsh 150,000 ( enzi hizo shule za kata zimeshamiri sana na hazina walimu ). Na shule nyingi zilikuwa zinalipa laki 1 mpaka 120.Sasa anaingia kuuza matunda mtaani bila mtaji?
Hakuna mtu anaeweza kukaa kwa kupenda bila kuingiza kitu watoto wa kiume sisi misoto yetu huwezi fananisha na watoto wa kike. Mwanaume unaweza kukaa huna hata buku wiki nzima na una hujui unaipata wapi na huna kazi na kwenu mabovu.
Huwezi fananisha nyinyi watoto wa kike na watoto wa wakiume hata kidogo, unavyosema wanacheza sijui vikoba tunawaona wengi tu wanalipiwa na vidume mitaji midogo midogo ya biashara pia mnapewa na masponsor wengine hata mpaka mpaka magari.
Kwa mwanaume tena uliekulia familia ya milo milwili na wawazi wanakutegemea hiyo hela ya kuuza matunda au mama lishe unaitoa wapi kama sio uzunguke na bahasha ili upate kazi ndio upate kianzio.
Wapeni vianzio basi kama mtu anatashindwa kufanya kitu huyo kweli atakuwa na shida sio mnawasema watu tu bila kuwasidia... Mtu kaja kwako siku moja tu umeashaanza kumjaji ulitaka afanye nini sasa kama ni mgeni hapo na hana wenyeji na wala hajaja kwa ajiri ya biashara?.
Mi ndio maana kwa ndugu siendagi kabisa bora uende kwa washikaji kama huna hela ya gest.
Mbona kama umepanicMtoa mada ,mtoa mada umeangalia kwa makini au umeandika andika tu?, umeshawai kumuona mwanamke akiuza ice cleam za bakhresa kwa vile vibaiskeli? Umekwenda pale buguruni ukute vijana wangapi wa kiume wanafanya kazi za kupakia ngano , ushawai kukuta gari za pespi ,koka, au za kusambaza maji wanapakia au kushusha wanawake. Ushawai unajua waendesha bajaji asilimia kubwa ni wanaume, unajua boda boda wengi wanaume ,unajua makondacta na madeleva wa daladala wengi wanaume, ukija na hoja fanya tasmini kwanza sio unakuja kubwabwajatu, kama ulikuwa hujui mwaka huu ndio tumepata rais nwanamama huko kote tulikuwa na marais wa wanume
Sent using Jamii Forums mobile app