road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Wa kiume wanakenga pension za wazazi wao jinga kabisa hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi kweli mkuu kunakucha mtu hawezi kufagia hata uwanjaHata mimi nimemshangaa sana pengine ni huyo ndugu yake tu na alipaswa kumsaidia sio kumsema vile. Hajui watoto wa kiume wanavyopambana kwa machungu na hasira.
Yan hataweza kuongoza familia ,sometime tunawalaumu wanawake hawaeleweki Ila ..nafasi ya mwanaume ikishapotea lazima mwanamke atawale ...Sana halafu kesho huyo unasikia nibaba
Wewe unasema tu. Kama hukuwekewa msingi mzuri ni ngumu. Utokee tu ujasiri. Kusingizia elimu sidhani kama ni sahihi. Unadhani wanaofanya kazi mpaka umri wa kustaafu hawapendi kujiajiri..! Au na wao elimu haijawakomboa ...?Mtu anayejitambua aliyeelimika, awezi kuangalia jamii,
Kujikomboa ni pamoja na kukabilianana hizo myth
Mkuu endelea kupambana ajira utapata hata hivo tunalilia sana ajira ila mtaani umejifunza mengiMkuu mimi mwenyewe ni Graduate ( 2016 ) ninasubiria ajira za Samia baada ya kudanganywa kama mtoto na mwendazake miaka 5
Tusisingizie sana mtaji.. Kazi kama ya saidia fundi haihitaji mtaji na Kazi kama ya bodaboda pia haihitaji mtaji sababu tajiri atakupa mwenyewe pikipiki kwa mkataba.. Kazi ya kuweka nyimbo kwenye simu na movies mtaji ni kompyuta yako tu na asilimia kubwa vijana humaliza chuo wakiwa na computer so bado hapo point ya mtaji unakuwa ipo kwa mbali sana..Sasa anaingia kuuza matunda mtaani bila mtaji?
Hakuna mtu anaeweza kukaa kwa kupenda bila kuingiza kitu watoto wa kiume sisi misoto yetu huwezi fananisha na watoto wa kike. Mwanaume unaweza kukaa huna hata buku wiki nzima na una hujui unaipata wapi na huna kazi na kwenu mabovu.
Huwezi fananisha nyinyi watoto wa kike na watoto wa wakiume hata kidogo, unavyosema wanacheza sijui vikoba tunawaona wengi tu wanalipiwa na vidume mitaji midogo midogo ya biashara pia mnapewa na masponsor wengine hata mpaka mpaka magari.
Kwa mwanaume tena uliekulia familia ya milo milwili na wawazi wanakutegemea hiyo hela ya kuuza matunda au mama lishe unaitoa wapi kama sio uzunguke na bahasha ili upate kazi ndio upate kianzio.
Wapeni vianzio basi kama mtu anatashindwa kufanya kitu huyo kweli atakuwa na shida sio mnawasema watu tu bila kuwasidia... Mtu kaja kwako siku moja tu umeashaanza kumjaji ulitaka afanye nini sasa kama ni mgeni hapo na hana wenyeji na wala hajaja kwa ajiri ya biashara?.
Mi ndio maana kwa ndugu siendagi kabisa bora uende kwa washikaji kama huna hela ya gest.
Kazi ipoYan hataweza kuongoza familia ,sometime tunawalaumu wanawake hawaeleweki Ila ..nafasi ya mwanaume ikishapotea lazima mwanamke atawale ...
As long as you are moving. Shukuru Mungu. Hata kama ndoto zako ni kupata 1M kwa mwezi lakini sasa unapata laki 1 siyo mbaya.Mkuu endelea kupambana ajira utapata hata hivo tunalilia sana ajira ila mtaani umejifunza mengi
Mkuu wengi hawajitambui wanachagua kaziMi nadhani tukubali kuna wachache wenye changamoto lakini Kama tukiamua kuwakebehi vijana wa kiume kwa kuwa uchumi wao mbovu hivyo ni wavivu na wazembe tunakosea sana. Ukifanikiwa kupenya usizisahau njia hata kuwasema vibaya ambao hawajafanikiwa
Unaweza kuona anabeti au anacheza gemu au amekaa ukadhani afikiri au haoni hali yake ni mbaya ila kiukweli kwenye maisha kuna mahali inafika haujui hata ukiamka uende wapi au ikifika jioni ni nini utakula bahati mbaya sana hakuna anayejali yeyote unaemueleza anakuona mzembe, Kama wewe ni wamakamo na unavijana wako wanaonesha nia embu washike mkono maana mambo kwa ground usiyaelezee Kama hujayapitia
Walivyo wapumbavu wanakwambia hiyo yote imesababishwa na mwenda zake!
Huko arusha si nasikiaga kila mtu ni bilioneaMimi pia nimepita Arusha siyo siku nyingi ukitazama pale stand kuna la kunifunza
Sasa kuna siku nilikuwa nashukia pale Arusha mjini nilikuwa nina mzigo kama wa kilo 30 nikashuka nao, jamani nilivamiwa na kundi la vijana wanataka wanibebee wote ni wala ganja (wahuni hatari) kazi zao ndo hizo simple simple tu akubebee mzigo umpe buku akanunue ganja imetola hiyo
Sio wanakuona je hawakupi hata hiyo michongo yenyewe mpaka twende sehemu mbali na home ambako hawajui id ya muhusikaKwani asiposifiwa shida iko wapi?
Ukiendesha bodaboda watu wakakusema kwani unakufa?
Ndio maana tunasema vijana wenyewe hawajitambui. Kama mtu unamaliza chuo alafu unaogopa kufanya kazi flani kwamba watu watanionaje huku unapigika kwa njaa maana ake hujitambui.
Tatizo kubwa lipo kwenye jamii sio vijana.. yani kijana akimaliza chuo akaendesha bodaboda au kufanya Kazi ya saidia fundi watu wengi huanza kusema vibaya kumchukulia kama kitendo cha kwenda shule alipoteza muda.. na hakuna maarifa aliyo yapata ya ziada tofauti na walio baki mtaani hii kitu sio kizuri kwenye jamii yetu, na ndo kimefanya vijana wengi wajifungie majumbani.
Yani ili nchi iendelee inatakiwa tujifunze kuwasifia watu wanao kujituma kufanya Kazi kwa bidii hata kama ikiwa ni Kazi ya kuzibua choo.. na kingine pia tujifunze kwa nchi zilizo endelea.
Jamii yetu inaona kama mtu ukimaliza kusomea Uhandisi ukaenda kulima au kujiajiri katika fani tofauti unakuwa umepotea.. kwa mtazamo wangu kitu kikubwa kinacho kwamisha vijana ni majungu kutoka kwenye jamii.
Mfano niulize tu.. ni wazazi wangapi wataruhu mwanao aliesomeshwa kwa gharama mpaka chuo akawe bodaboda,saidia fundi, au hata kuwa mpishi mgahawani?? Wazazi kama mpo humu naomba mjibu kwa uwazi kabisa [emoji1488]
Sawa kwa hio umekuja kunisema huku.
Sio vizuri ni bora ungeniambia tu mzee. Si kwa ubaya. Sasa wewe unataka niamke saa 12 niwe nafanya nini mzee. Napunguza masaa ya kuteseka.
Ila siku nyingine nichane live. Sio kunisengenya huku mtandaoni tabia za kike hizo[emoji35]
Sawa vijana wetu wamekuelewa sana. Ila na vijana wa kike nao inabidi wafundishwe waache tabia za kudanga na kuwa ombaomba. Waambieni wazi kuwa k zao siyo chanzo cha kipato bali ni kwa ajili ya kusaidia kuzaa na kutoa haha ndogo.Habari za jumapili wana Jamii Forum
Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi
Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato, huko kwenye vikoba ndo usiseme wanawake wameamua kutafuta hasa tofauti na zamani
Lakini upande wa pili kuna uvivu na kujisahau ambapo trend ikiendelea hivi kuna hatari kubwa mbeleni
Wanaume hasa hawa wanaojiita graduate mnapotea kaka zangu, najua mmesoma bodaboda mnaona si hadhi zenu tena, saidia fundi pia siyo hadhi yenu kuuza matunda siyo hadhi yenu mmebaki mnatembea na bahasha kutwa kutafuta kazi, ebu ndugu zangu acheni u brazamen wa kishamba, jichanganyeni hakuna pesa inakuja kukugongea mlango lazima tu uitolee jasho kidogo, mbona wadada wazuri tu wanajishughulisha??
Kuna mtoto wa ndugu yangu alifikia kwangu ili aende interview jamani anaamka saa tano akiamka anaamka na laptop na muvi, anakunywa chai anaendelea na muvi mchana anakula anaendelea na muvi narudi nyumbani nipo hoi bin taaban yeye hata kuoga ajaoga,saa mbili na nusu tunakula dinner ndo anamwambia dada akampashie maji ya kuoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huyu mtu hata akipata kazi si mzigo huu??????
Huu ni mfano lakini wanaume wa aina hii ni wengi sana
Wakati ambapo dunia ipo busy kuimpower mtoto wa kike hebu Wazazi wekeni juhudi kidogo na kwa watoto wa kiume, wajitambue na kuwafundisha kufanya kazi kwa mikono yao wenyewe.
Ni Aibu sana