Ndo hivo mkuu..hizo kazi wanazofanya wanawake zinawabeba kwa ajili ya genderHahahahah najaribu ku imagine dume zima na midevu umeshika pakti za ubuyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au unatembea na chupa la uji na vikombe kwanza wahuni hawatanunua!
Kazi hio inawafaa watoto wa kike na wengine wananunua sababu ya mvuto wa watoto wakike wenyewe katika mbinu zao za kijasusi [emoji28][emoji28][emoji28]
Anaongea tu huyo! Kuna maprofesa walilia mbele ya kamera kisa kunyofolewa kitengo 😂😂😂Wewe unasema tu. Kama hukuwekewa msingi mzuri ni ngumu. Utokee tu ujasiri. Kusingizia elimu sidhani kama ni sahihi. Unadhani wanaofanya kazi mpaka umri wa kustaafu hawapendi kujiajiri..! Au na wao elimu haijawakomboa ...?
Hapa tutalaumiana bure tu,Ndo hivo mkuu..hizo kazi wanazofanya wanawake zinawabeba kwa ajili ya gender
Sema mimi, il kuna wanaume wavivu balaa, hawataki kabisa kuchosha mwili
Tembea uone kaka
Safi..Umegonga penyewe...kuna graduate nilimkuta mahali,akagongea msosi...tukachoma nyama,kilo za kutosha....wakati tunapata hilo dona la nguvu,kachumbari...tukashushia kwa maji ya mende(yeye hatumii)..akaniambia kuna mchongo anausikilizia mahali...nikamchana... Kesho yake akanitafuta tena,akiomba mwongozo wa maisha ya mtaani. Nikamwachia goli asimamie...na masharti kibao. Baada ya mwezi tukafanya hesabu...alinifaa sana sana..amekuwa partner
Umegonga penyewe...kuna graduate nilimkuta mahali,akagongea msosi...tukachoma nyama,kilo za kutosha....wakati tunapata hilo dona la nguvu,kachumbari...tukashushia kwa maji ya mende(yeye hatumii)..akaniambia kuna mchongo anausikilizia mahali...nikamchana... Kesho yake akanitafuta tena,akiomba mwongozo wa maisha ya mtaani. Nikamwachia goli asimamie...na masharti kibao. Baada ya mwezi tukafanya hesabu...alinifaa sana sana..amekuwa partner
Hilo goli ilikuwa kwa mdogo wangu wa kuzaliwa tumbo moja,ilikuwa hasara tupu...ikabidi aondoke tu. Msomi huyu alifanya biashara hasa,alihakikisha hapotezi wateja..uaminifu mkubwa...kuwapelekea huduma hadi ofisini/nyumbani kabisa. Aliweka mfumo wa computer kuhifadhi hesabu...Hivi ndo inafaa
Kuna mdada huku mtaani anauza genge ina matikiti matatu tu! Uyo mdada ukimuangalia ameumbika haswaa! inasemekana kuna biashara ingine iyo genge zuga tu!Naomba kukuliza pia.. kwenye kikundi chenu cha vikoba wengi hutoa pesa kutoka kwenye biashara na sio kwa kuhongwa na wanaume?..
Maana ninajua list ya wadada ambao wanamaduka lakini still mtaji wao mkubwa ni kutoka kwa wanaume na biashara husika zimekuwa kama bosheni tu, maana wanaume wengine wanaamini ukimuweka mwanamke kwenye frame unamfunga miguu asichepuke kirahisi.. kuna wadada wangapi mjini ambao wauza matunda na degree zao?!
Eeeh ndio ndio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahhh kwahiyo umeona umjibie humu humu
Hilo goli ilikuwa kwa mdogo wangu wa kuzaliwa tumbo moja,ilikuwa hasara tupu...ikabidi aondoke tu. Msomi huyu alifanya biashara hasa,alihakikisha hapotezi wateja..uaminifu mkubwa...kuwapelekea huduma hadi ofisini/nyumbani kabisa. Aliweka mfumo wa computer kuhifadhi hesabu...
Kabisa yani.. wanawake ambao wanapata pesa za vikoba kupitia biashara wapo lakini wachache sanaKuna mdada huku mtaani anauza genge ina matikiti matatu tu! Uyo mdada ukimuangalia ameumbika haswaa! inasemekana kuna biashara ingine iyo genge zuga tu!
Yaaani, nisawa kabisa maana jamaa alipo kabidhiwa office tu mambo yakaanza badirida, nilikuwa napewa pesa yaposho, maji na usafiri ya kila siku. Akaanza kuondoa vyote hivyo kiasi kwamba house girl wake ndiye atoe chakula home apewe nauli yakwenda na kurudi ila chakula kitoke home kwake, mshahara akawa anapunguza kila mwaka na silipwi bali napewa pesa ndogo za kujikimu tu, nikalombikiza mshahara wa mwaka mzima, nilivyo ona mambo yananielemea niliacha kazi. Wabongo sijui tuna roho ganiKampuni ikishaingiwa na utawala wa mtu mweusi hapo lazma mambo hayo yajitokeze sijui tuna laana gani! Kwanza mshahara kama hutadhulumiwa basi kama ulikuwa unalipwa 20,000 kwa lisaa mbongo akiinga hapo utashaangaa buku 2 kwa saa!
Roho mbaya sana tu ndio zinatusumbua, yani mmbongo akipewa madaraka lazma mnaozunguka hapo msononeke tu!Yaaani, nisawa kabisa maana jamaa alipo kabidhiwa office tu mambo yakaanza badirida, nilikuwa napewa pesa yaposho, maji na usafiri ya kila siku. Akaanza kuondoa vyote hivyo kiasi kwamba house girl wake ndiye atoe chakula home apewe nauli yakwenda na kurudi ila chakula kitoke home kwake, mshahara akawa anapunguza kila mwaka na silipwi bali napewa pesa ndogo za kujikimu tu, nikalombikiza mshahara wa mwaka mzima, nilivyo ona mambo yananielemea niliacha kazi. Wabongo sijui tuna roho gani