Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,297
- Thread starter
- #21
Kabisa kakaKuna haja ya kuwa na mijadala ya wazi kuhusu jambo hili. Ni moja ya mada muhimu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kakaKuna haja ya kuwa na mijadala ya wazi kuhusu jambo hili. Ni moja ya mada muhimu sana.
Sina uhakikaWalivyo wapumbavu wanakwambia hiyo yote imesababishwa na mwenda zake!
Wanataka kuamka wajikute ni diamond i.e kutoboa kirahisi, wakati hata diamond ana history ndefu yaliyofuchwa nyuma ya mafanikio yakeNi aibu sana kwakweli.
Huku uswahilini unakuta kwenye vibanda vya cd kuna vijana wadogo wamejazana hadi usiku wamenyoa viduku huku wakijifanya kina diamond,
Unajiuliza huyu kabisa muda huu ndio anarudi kwangu ananikuta mimi ndio babake anagonga anaingia kulala.. Hiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe siongeagi pointKatika siku ulioongea point ni leo mtu yan hana alternative ya kutafuta hela mzee mwenzangu me hawa watoto wakiniomba msaada sikuiz huwa nawapa jero wakabeti labda atabahatisha sababu akienda akikosa mara kumi ndio atajua hela kuipata sio rahis kama wanavyodhani. Watu kama hao wapo wengi tumekutana nao kwene ma interview utawaonea huruma yan kujieleza hawez kabisa sasa sijui tatizo huwa nini daaah
Mie 99.99% ya watu wanaohitaji msaada ni wanaume...! Sijui lakini!Kiukweli mimi sijui tunakoelekea.
Na sasa hivi naona wanawake wanatafuta pesa wakipata, wao ndio wanaoa.
Shilole kila siku yeye ndio anaoa.
Wanaume wamegeuka wengine mashoga, wengine chawa, wengine omba omba wa kutisha aisee.
Sijui miaka 10 mbele itakuwaje.
Taasisi ya Familia imetikisika.
Nafikiri wazazi nawalezi wanachangia sana kwenye hiliTatizo kubwa lipo kwenye jamii sio vijana.. yani kijana akimaliza chuo akaendesha bodaboda au kufanya Kazi ya saidia fundi watu wengi huanza kusema vibaya kumchukulia kama kitendo cha kwenda shule alipoteza muda.. na hakuna maarifa aliyo yapata ya ziada tofauti na walio baki mtaani hii kitu sio kizuri kwenye jamii yetu, na ndo kimefanya vijana wengi wajifungie majumbani.
Yani ili nchi iendelee inatakiwa tujifunze kuwasifia watu wanao kujituma kufanya Kazi kwa bidii hata kama ikiwa ni Kazi ya kuzibua choo.. na kingine pia tujifunze kwa nchi zilizo endelea.
Jamii yetu inaona kama mtu ukimaliza kusomea Uhandisi ukaenda kulima au kujiajiri katika fani tofauti unakuwa umepotea.. kwa mtazamo wangu kitu kikubwa kinacho kwamisha vijana ni majungu kutoka kwenye jamii.
Mfano niulize tu.. ni wazazi wangapi wataruhu mwanao aliesomeshwa kwa gharama mpaka chuo akawe bodaboda,saidia fundi, au hata kuwa mpishi mgahawani?? Wazazi kama mpo humu naomba mjibu kwa uwazi kabisa [emoji1488]
Kwa hiyo wamechukuwa nafasi ya keWakati ukuta... mambo mawili hayakumbatiwi pamoja. Mkono wa kushoto ukiupa kazi, wa kulia ulegea, na kinyume chake. Hizi ni zama za -ke waliodhani -me wanafaidi maisha huko nyuma.
Sijamuona akibeti, ila ni mlevi wa muvi, hafanyi chochote homeHuyo mtoto wa ndugu yako alikua Anabet
Hali mbaya sana kila mtu amekaa kwenye mgongo waukosefu waajira halafu watoto wakiume ndoinaonekana wanakosa sana ajiraMie 99.99% ya watu wanaohitaji msaada ni wanaume...! Sijui lakini!
Wanaume wengi mna aibu...sijui kwanini....Hali mbaya sana kila mtu amekaa kwenye mgongo waukosefu waajira halafu watoto wakiume ndoinaonekana wanakosa sana ajira
Mwambie ukweliSijamuona akibeti, ila ni mlevi wa muvi, hafanyi chochote home
Sio aibu mtu anakuwa nauhakika wakula namambo mengine madogomadogo kama huna mtu wakumtizama utaingia mtaani mwenyeweWanaume wengi mna aibu...sijui kwanini....
Sawa kwa hio umekuja kunisema huku.Habari za jumapili wana Jamii Forum
Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi
Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato, huko kwenye vikoba ndo usiseme wanawake wameamua kutafuta hasa tofauti na zamani
Lakini upande wa pili kuna uvivu na kujisahau ambapo trend ikiendelea hivi kuna hatari kubwa mbeleni
Wanaume hasa hawa wanaojiita graduate mnapotea kaka zangu, najua mmesoma bodaboda mnaona si hadhi zenu tena, saidia fundi pia siyo hadhi yenu kuuza matunda siyo hadhi yenu mmebaki mnatembea na bahasha kutwa kutafuta kazi, ebu ndugu zangu acheni u brazamen wa kishamba, jichanganyeni hakuna pesa inakuja kukugongea mlango lazima tu uitolee jasho kidogo, mbona wadada wazuri tu wanajishughulisha??
Kuna mtoto wa ndugu yangu alifikia kwangu ili aende interview jamani anaamka saa tano akiamka anaamka na laptop na muvi, anakunywa chai anaendelea na muvi mchana anakula anaendelea na muvi narudi nyumbani nipo hoi bin taaban yeye hata kuoga ajaoga,saa mbili na nusu tunakula dinner ndo anamwambia dada akampashie maji ya kuoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huyu mtu hata akipata kazi si mzigo huu??????
Huu ni mfano lakini wanaume wa aina hii ni wengi sana
Wakati ambapo dunia ipo busy kuimpower mtoto wa kike hebu Wazazi wekeni juhudi kidogo na kwa watoto wa kiume, wajitambue na kuwafundisha kufanya kazi kwa mikono yao wenyewe.
Ni Aibu sana
Naomba kukuliza pia.. kwenye kikundi chenu cha vikoba wengi hutoa pesa kutoka kwenye biashara na sio kwa kuhongwa na wanaume?..Habari za jumapili wana Jamii Forum
Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi
Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato, huko kwenye vikoba ndo usiseme wanawake wameamua kutafuta hasa tofauti na zamani
Lakini upande wa pili kuna uvivu na kujisahau ambapo trend ikiendelea hivi kuna hatari kubwa mbeleni
Wanaume hasa hawa wanaojiita graduate mnapotea kaka zangu, najua mmesoma bodaboda mnaona si hadhi zenu tena, saidia fundi pia siyo hadhi yenu kuuza matunda siyo hadhi yenu mmebaki mnatembea na bahasha kutwa kutafuta kazi, ebu ndugu zangu acheni u brazamen wa kishamba, jichanganyeni hakuna pesa inakuja kukugongea mlango lazima tu uitolee jasho kidogo, mbona wadada wazuri tu wanajishughulisha??
Kuna mtoto wa ndugu yangu alifikia kwangu ili aende interview jamani anaamka saa tano akiamka anaamka na laptop na muvi, anakunywa chai anaendelea na muvi mchana anakula anaendelea na muvi narudi nyumbani nipo hoi bin taaban yeye hata kuoga ajaoga,saa mbili na nusu tunakula dinner ndo anamwambia dada akampashie maji ya kuoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huyu mtu hata akipata kazi si mzigo huu??????
Huu ni mfano lakini wanaume wa aina hii ni wengi sana
Wakati ambapo dunia ipo busy kuimpower mtoto wa kike hebu Wazazi wekeni juhudi kidogo na kwa watoto wa kiume, wajitambue na kuwafundisha kufanya kazi kwa mikono yao wenyewe.
Ni Aibu sana
Wewe ndio umenena. Wazazi wanowaruhusu wapo. Shida ndio ipo kwenye jamii wanakuonea huruma sijui kama wao ndio wanafanya.Tatizo kubwa lipo kwenye jamii sio vijana.. yani kijana akimaliza chuo akaendesha bodaboda au kufanya Kazi ya saidia fundi watu wengi huanza kusema vibaya kumchukulia kama kitendo cha kwenda shule alipoteza muda.. na hakuna maarifa aliyo yapata ya ziada tofauti na walio baki mtaani hii kitu sio kizuri kwenye jamii yetu, na ndo kimefanya vijana wengi wajifungie majumbani.
Yani ili nchi iendelee inatakiwa tujifunze kuwasifia watu wanao kujituma kufanya Kazi kwa bidii hata kama ikiwa ni Kazi ya kuzibua choo.. na kingine pia tujifunze kwa nchi zilizo endelea.
Jamii yetu inaona kama mtu ukimaliza kusomea Uhandisi ukaenda kulima au kujiajiri katika fani tofauti unakuwa umepotea.. kwa mtazamo wangu kitu kikubwa kinacho kwamisha vijana ni majungu kutoka kwenye jamii.
Mfano niulize tu.. ni wazazi wangapi wataruhu mwanao aliesomeshwa kwa gharama mpaka chuo akawe bodaboda,saidia fundi, au hata kuwa mpishi mgahawani?? Wazazi kama mpo humu naomba mjibu kwa uwazi kabisa [emoji1488]
Hii hoja niyakitaifaSawa kwa hio umekuja kunisema huku.
Sio vizuri ni bora ungeniambia tu mzee. Si kwa ubaya. Sasa wewe unataka niamke saa 12 niwe nafanya nini mzee. Napunguza masaa ya kuteseka.
Ila siku nyingine nichane live. Sio kunisengenya huku mtandaoni tabia za kike hizo[emoji35]
Ni kweli ajira ni ngumu lakini huwezi kukosa kibarua cha kupata hata 100,000 kwa mwezi hapa Dar.Hali mbaya sana kila mtu amekaa kwenye mgongo waukosefu waajira halafu watoto wakiume ndoinaonekana wanakosa sana ajira
Mimi binafsi ni afadhali mtu anayefanya chochote kuliko mkaaji, kikubwa mazngira ya kazi yawe salama tuTatizo kubwa lipo kwenye jamii sio vijana.. yani kijana akimaliza chuo akaendesha bodaboda au kufanya Kazi ya saidia fundi watu wengi huanza kusema vibaya kumchukulia kama kitendo cha kwenda shule alipoteza muda.. na hakuna maarifa aliyo yapata ya ziada tofauti na walio baki mtaani hii kitu sio kizuri kwenye jamii yetu, na ndo kimefanya vijana wengi wajifungie majumbani.
Yani ili nchi iendelee inatakiwa tujifunze kuwasifia watu wanao kujituma kufanya Kazi kwa bidii hata kama ikiwa ni Kazi ya kuzibua choo.. na kingine pia tujifunze kwa nchi zilizo endelea.
Jamii yetu inaona kama mtu ukimaliza kusomea Uhandisi ukaenda kulima au kujiajiri katika fani tofauti unakuwa umepotea.. kwa mtazamo wangu kitu kikubwa kinacho kwamisha vijana ni majungu kutoka kwenye jamii.
Mfano niulize tu.. ni wazazi wangapi wataruhu mwanao aliesomeshwa kwa gharama mpaka chuo akawe bodaboda,saidia fundi, au hata kuwa mpishi mgahawani?? Wazazi kama mpo humu naomba mjibu kwa uwazi kabisa [emoji1488]
Wapo hao wanaopata za kikoba kwa wanaume sikatai kila mahali wapoNaomba kukuliza pia.. kwenye kikundi chenu cha vikoba wengi hutoa pesa kutoka kwenye biashara na sio kwa kuhongwa na wanaume?..
Maana ninajua list ya wadada ambao wanamaduka lakini still mtaji wao mkubwa ni kutoka kwa wanaume na biashara husika zimekuwa kama bosheni tu, maana wanaume wengine wanaamini ukimuweka mwanamke kwenye frame unamfunga miguu asichepuke kirahisi.. kuna wadada wangapi mjini ambao wauza matunda na degree zao?!
Mimi siyo mzeeSawa kwa hio umekuja kunisema huku.