Duuuuhboda boda tena vijana kama vishandu hao sini wachafuzi tu.
Haijalishi ila featuring ya bodaboda sio salama kwa afya ya binti yeyote timamu. Labda kwa wasio na ndoto kubwa maishaniJe itokee huyo Kaka ni jobless ndo a mind dadake kufatwa na boda boda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh mwisho wa siku ni majukumu tu ndio yataongea. Hamna mtu anayetaka mizigo sikuhizi kama unaweza kumlinda dada yako dhidi ya majanga basi fanya intervention na um cancel kabisaKumbe tatizo ni maslahi 😂, kwa hali hii hakuna kishandu anapaswa kugusa mtoto wa mtu... La sivyo lolote litamkuta
Mwenye Dada hakosi shemeji, ni swala la muda tu!!Habari za jioni wana jukwaa...
Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.
Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.
Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?
Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
Familia za Dar hizo unaongelea... 😃Ukute ktk hao madume mliopo, kuna baadhi wanachezewa na madume wenzio.
Sasa kipi boraaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hali ilivyo sasa ni ngumu sana kumlinda mtu, tunaishia kuwaonya dada zetu lakini mtaani hali ni mbayaEeh mwisho wa siku ni majukumu tu ndio yataongea. Hamna mtu anayetaka mizigo sikuhizi kama unaweza kumlinda dada yako dhidi ya majanga basi fanya intervention na um cancel kabisa
Kweli kuliwa Dada kunauma sanaKula na Kuliwa hakujawahi fanana uzito wake
Alipita makusudi tu alijua wanae wapo watamsaidia 😂hapana sio na wahuni wake ila ni yy peke yake sasa wakt namkimbza akapta skan kwa wanae sijui naona tag hilo linaunga nkala nDuki😂🤣
Lakini kwa upande wa Dada, hapo sio kunyimwa tu ila hata mawe mtu atapigwaBinadamu ana sifa za mnyama, wanyama wengi madume wana hulka ya kuwanyima majike madume wenzake.
Nature is not fairNature
Au akimfuata Dada na wewe unamtafuta Dada yake?"Alagi Ihagi" - Dawa ya moto ni moto.
Kabisa. Sababu tunajuana tabia zetu.Lakini kwa upande wa Dada, hapo sio kunyimwa tu ila hata mawe mtu atapigwa
Vyote kama kuonya na kulinda inawezekanaKwa hali ilivyo sasa ni ngumu sana kumlinda mtu, tunaishia kuwaonya dada zetu lakini mtaani hali ni mbaya
Mkuu mimi nina mdogo wangu yupo darasa la sita, lakini tayari nimeanza kupiga kelele na mikwala kibao, Kwakweli mtaani hali ni mbayaVyote kama kuonya na kulinda inawezekana
Huyo bro kwanini akiwakuta hasemi kitu, au anawakuta na njemba ngumu kuliko yeye? 😂🤣🤣🤣 tunaye bro yeye huko nje ni kauzu sana walikua wanatuogopa sababu yake. Lakini yeye akikukuta na mtu Wala hakusemeshi chochote🤣🤣🤣 ila anakuja kumwambia Mama, eti mama Unawalea vibaya Hawa watoto unawapa uhuru sana. Wakiharibika Mimi msinishirikishe.
Btw ma bro waelewa tunawakubali mnoo 😂😂
Yule ni kama deputy mzazi lakini hajawahi kupiga story kuhusu mahusiano kwahiyo anaona kama ni taboo kwa Rika etuHuyo bro kwanini akiwakuta hasemi kitu, au anawakuta na njemba ngumu kuliko yeye? 😂