Vijana wa kiume kwanini mnataka kuwa na girlfriends lakini mnawazuia Dada/ wadogo zenu kuwa na boyfrinds?

Yule ni kama deputy mzazi lakini hajawahi kupiga story kuhusu mahusiano kwahiyo anaona kama ni taboo kwa Rika etu
Anahisi akiwaonya ndyo atakuwa amewatuma 😂
 
Habari za jioni wana jukwaa...

Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.

Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.

Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?

Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
Hii ni hoja ya kuonesha kuwa uzinzi ni chukizo kubwa kwa Mungu na binadamu , japo mwanaume anaona raha ila akifanywa dada yake au mama yake anapata maumivu makubwa mno.

Kama mtu hupendi afanyiwe mama yako au dada yako na wewe usiwafanyie wenzako
 
Hakika uzinzi ni jambo baya, kweli kama mtu hutaki ufanyiwe basi usiwafanyie wenzako
 
Mnafiki hapendi unafilki
Mzinzi hapendi wazinzi

Kinachotekea hapo ni kuwa binadamu huwa hawapendi kuona mambo machafu au negative yakiwa upande wao au kwa familia zao.
 
Inakera aisee
Sema unakuta kidogo chako ndio kipumbav kinapenda mazoea nao
Kinacheka cheka nao kuliko hata kinavyocheka na wewe
Mpaka unatamani kidungwe ujauzito kipate akili khaaa
God forbid
 
Lakini wanapenda kuona machafu yakitokea katika familia za wengine, inamaana kila mtu akiwa na heshima kwa familia nyingine, basi mtaani pasingekuwa na matatizo ya uzinzi na ushenzi.
 
Inakera aisee
Sema unakuta kidogo chako ndio kipumbav kinapenda mazoea nao
Kinacheka cheka nao kuliko hata kinavyocheka na wewe
Mpaka unatamani kidungwe ujauzito kipate akili khaaa
God forbid
Pia afadhali angekuwa mkubwa useme kwamba anajitambua, wengine ni vischana vidogo na bado havisikii ushauri wala maonyo
 
Kuna jambo la kipumbavu niliwahi kufanya na mdogo wangu. Tukiwa na miaka 16, tuligundua kuwa dada yetu anayetuzidi umri mrefu tu (miaka 7 mbele) anapigiwa misele na jamaa, ambaye naye kiumri anatuzidi miaka 10+.

Siku moja tukaamua kumuwinda huyo jamaa, na alipoingia kwenye 18 zetu tulimpiga mabit ya kufa mtu, matusi na kejeli za kila aina. Si jamaa kubwa zima likaanza kutuomba msamaha, na kusema halitamfuatilia tena dada yetu! Baada ya hapo nadhani dada alipata taarifa, maana tulishtukia tu anatununia karibu mwezi mzima. Muda wa chakula ukifika hatuitwi home, labda mama au dingi ndo ashtuke "wakina fulani mbona hawapo mezani?" 😆🤣

Miaka 2 baadae dada yetu aliolewa na jamaa mwingine, ila ndoa ilikuja kuvunjika, na tangia hapo hajawahi kuolewa tena. Pengine kwa upuuzi wetu tulimkosesha chaguo lake sahihi 🙆, maana yule jamaa tulikuja kugundua baadae alikuwa mtu mmoja mstaarabu sana.
 
Lakini ni afadhali mlimkanya jamaa mapema kwasababu alikuwa anataka kuharibu maisha ya sister wakati bado hajamuoa.
 
Koo za simba hatuna tatizo hilo, dada zetu tunawala wenyewe. Haliwi na asiekua kwenye koo za simba au marafiki wa koo za simba.

hayo ni mambo ya kiroho zaidi.
 
Mnawezaje kuwachunga mabinti zenu wasiliwe na watu wa koo nyingine? Au mnawafungia ndani?
 
Hapana, koo za simba hatuna miiko ya kulana ispokua kwa koo zisizokua za simba, tunajuana kwa dalili na maongezi yetu tunapoanza tu kutambulishana.

Nimesema ni mambo ya kiroho zaidi.
 
Hii ni hoja ya kuonesha kuwa uzinzi ni chukizo kubwa kwa Mungu na binadamu , japo mwanaume anaona raha ila akifanywa dada yake au mama yake anapata maumivu makubwa mno.

Kama mtu hupendi afanyiwe mama yako au dada yako na wewe usiwafanyie wenzako
Koo za simba, hata wanawake zetu hawakubali kabisa wanaume tule ambao sio simba.

Haiji, simba ale au aliwe na fisi.
 
Habari za jioni wana jukwaa...

Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.

Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.

Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?

Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?

#BM
Huu nao ni ushamba shida inakuja pale mdogo wako kajazwa kitu alafu matumizi yameisha kaka mtu utaachakua na hasira mzee🤣🤣🤣ikitokea umeharibu kwa dada wa watu nawe inabidi likukabili pia
 
Hapana, koo za simba hatuna miiko ya kulana ispokua kwa koo zisizokua za simba, tunajuana kwa dalili na maongezi yetu tunapoanza tu kutambulishana.

Nimesema ni mambo ya kiroho zaidi.
Mmmmh hizo siri mnawezaje kuzitunza? Na hizo Koo za Simba ni za namna gani? Za Kihindi, Kiarabu, au wa Wabantu ila wachawi?
 
Zipo kila taifa na kila kabila. Tunafahamiana, hakuna siri, si kama hivi mimi nawaelezea, isipokua mambo ya ndani huwezi kuyajua hata nikikuelezea, ni ya kiroho zaidi.

Tupo makontineti yote.
 
Back
Top Bottom