Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #41
Anahisi akiwaonya ndyo atakuwa amewatuma 😂Yule ni kama deputy mzazi lakini hajawahi kupiga story kuhusu mahusiano kwahiyo anaona kama ni taboo kwa Rika etu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahisi akiwaonya ndyo atakuwa amewatuma 😂Yule ni kama deputy mzazi lakini hajawahi kupiga story kuhusu mahusiano kwahiyo anaona kama ni taboo kwa Rika etu
Hii ni hoja ya kuonesha kuwa uzinzi ni chukizo kubwa kwa Mungu na binadamu , japo mwanaume anaona raha ila akifanywa dada yake au mama yake anapata maumivu makubwa mno.Habari za jioni wana jukwaa...
Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.
Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.
Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?
Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
Hakika uzinzi ni jambo baya, kweli kama mtu hutaki ufanyiwe basi usiwafanyie wenzakoHii ni hoja ya kuonesha kuwa uzinzi ni chukizo kubwa kwa Mungu na binadamu , japo mwanaume anaona raha ila akifanywa dada yake au mama yake anapata maumivu makubwa mno.
Kama mtu hupendi afanyiwe mama yako au dada yako na wewe usiwafanyie wenzako
Lakini wanapenda kuona machafu yakitokea katika familia za wengine, inamaana kila mtu akiwa na heshima kwa familia nyingine, basi mtaani pasingekuwa na matatizo ya uzinzi na ushenzi.Mnafiki hapendi unafilki
Mzinzi hapendi wazinzi
Kinachotekea hapo ni kuwa binadamu huwa hawapendi kuona mambo machafu au negative yakiwa upande wao au kwa familia zao.
Pia afadhali angekuwa mkubwa useme kwamba anajitambua, wengine ni vischana vidogo na bado havisikii ushauri wala maonyoInakera aisee
Sema unakuta kidogo chako ndio kipumbav kinapenda mazoea nao
Kinacheka cheka nao kuliko hata kinavyocheka na wewe
Mpaka unatamani kidungwe ujauzito kipate akili khaaa
God forbid
Lakini wanapenda kuona machafu yakitokea katika familia za wengine, inamaana kila mtu akiwa na heshima kwa familia nyingine, basi mtaani pasingekuwa na matatizo ya uzinzi na ushenzi.
Lakini ni afadhali mlimkanya jamaa mapema kwasababu alikuwa anataka kuharibu maisha ya sister wakati bado hajamuoa.Miaka 2 baadae dada yetu aliolewa na jamaa mwingine, ila ndoa ilikuja kuvunjika, na tangia hapo hajawahi kuolewa tena. Pengine kwa upuuzi wetu tulimkosesha chaguo lake sahihi 🙆, maana yule jamaa tulikuja kugundua baadae alikuwa mtu mmoja mstaarabu sana.
Mnawezaje kuwachunga mabinti zenu wasiliwe na watu wa koo nyingine? Au mnawafungia ndani?Koo za simba hatuna tatizo hilo, dada zetu tunawala wenyewe. Haliwi na asiekua kwenye koo za simba au marafiki wa koo za simba.
hayo ni mambo ya kiroho zaidi.
kbsa ilikua nomah 😂😀 na nlimwambia s unanchukulia poa sku utaniita shmj kilazma tu dadaako hanipingiAlipita makusudi tu alijua wanae wapo watamsaidia 😂
Lakini Mkuu na wewe una Dada au mdogo wa kike?kbsa ilikua nomah 😂😀 na nlimwambia s unanchukulia poa sku utaniita shmj kilazma tu dadaako hanipingi
Hapana, koo za simba hatuna miiko ya kulana ispokua kwa koo zisizokua za simba, tunajuana kwa dalili na maongezi yetu tunapoanza tu kutambulishana.Mnawezaje kuwachunga mabinti zenu wasiliwe na watu wa koo nyingine? Au mnawafungia ndani?
Koo za simba, hata wanawake zetu hawakubali kabisa wanaume tule ambao sio simba.Hii ni hoja ya kuonesha kuwa uzinzi ni chukizo kubwa kwa Mungu na binadamu , japo mwanaume anaona raha ila akifanywa dada yake au mama yake anapata maumivu makubwa mno.
Kama mtu hupendi afanyiwe mama yako au dada yako na wewe usiwafanyie wenzako
Huu nao ni ushamba shida inakuja pale mdogo wako kajazwa kitu alafu matumizi yameisha kaka mtu utaachakua na hasira mzee🤣🤣🤣ikitokea umeharibu kwa dada wa watu nawe inabidi likukabili piaHabari za jioni wana jukwaa...
Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.
Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.
Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?
Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
#BM
Mmmmh hizo siri mnawezaje kuzitunza? Na hizo Koo za Simba ni za namna gani? Za Kihindi, Kiarabu, au wa Wabantu ila wachawi?Hapana, koo za simba hatuna miiko ya kulana ispokua kwa koo zisizokua za simba, tunajuana kwa dalili na maongezi yetu tunapoanza tu kutambulishana.
Nimesema ni mambo ya kiroho zaidi.
Zipo kila taifa na kila kabila. Tunafahamiana, hakuna siri, si kama hivi mimi nawaelezea, isipokua mambo ya ndani huwezi kuyajua hata nikikuelezea, ni ya kiroho zaidi.Mmmmh hizo siri mnawezaje kuzitunza? Na hizo Koo za Simba ni za namna gani? Za Kihindi, Kiarabu, au wa Wabantu ila wachawi?