Vijana wa kiume kwanini mnataka kuwa na girlfriends lakini mnawazuia Dada/ wadogo zenu kuwa na boyfrinds?

Vijana wa kiume kwanini mnataka kuwa na girlfriends lakini mnawazuia Dada/ wadogo zenu kuwa na boyfrinds?

Huu nao ni ushamba shida inakuja pale mdogo wako kajazwa kitu alafu matumizi yameisha kaka mtu utaachakua na hasira mzee🤣🤣🤣ikitokea umeharibu kwa dada wa watu nawe inabidi likukabili pia
Ni fahari kuharibu Dada za watu lakini hugeuka maumivu makubwa Dada zao wakiharibiwa
 
Inategemea na mtu mwenyewe sio unamkuta kabunda na kakijana kamoja ka hovyo kaharibifu alafu unamuacha tuu
Mfano huyo mwenye kibunda ni mzee kabisa, yani Sponsor, Bado utakubali aendelee na Dada?
 
Tabia anazofanya nape nauye kula chapati na rost za mafuta alizopata matokeo ya devision 4 unafikiri anataka wapate watoto wake
 
Habari za jioni wana jukwaa...

Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.

Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.

Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?

Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?

#BM
Binadamu yeyote ana asili ya uchoyo uliokomaa.Very selfcenteredness and selfish in nature.Na kanuni ya nature ni =it's neither created(modified)nor destroyed/removed permanently.
 
Binadamu yeyote ana asili ya uchoyo uliokomaa.Very selfcenteredness and selfish in nature.Na kanuni ya nature ni =it's neither created(modified)nor destroyed/removed permanently.
Ni kweli kuna selfishness, lakini endapo heshima kwa dada wa watu ikiwepo basi ni ngumu hata dada zetu kuchezewa.
 
Huo wivu kwa madogo wa kike sijui huwa unatoka wapi...ila kwa dada mkubwa sio kivile..Kwa upande wangu huwa sipendi mtu ninaye fahamiana naye achukue Dada..Shemeji anatakiwa tusiwe tunafahamiana
 
Huo wivu kwa madogo wa kike sijui huwa unatoka wapi...ila kwa dada mkubwa sio kivile..Kwa upande wangu huwa sipendi mtu ninaye fahamiana naye achukue Dada..Shemeji anatakiwa tusiwe tunafahamiana
Mkiwa mnafahamiana kweli inaleta utata sana, pia hatakama hamfahamiani lakini ukiska habari zake lazima bado uta Mind tu.
 
Back
Top Bottom