Vijana wa kiume kwanini mnataka kuwa na girlfriends lakini mnawazuia Dada/ wadogo zenu kuwa na boyfrinds?

Vijana wa kiume kwanini mnataka kuwa na girlfriends lakini mnawazuia Dada/ wadogo zenu kuwa na boyfrinds?

Habari za jioni wana jukwaa...

Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.

Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.

Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?

Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?

#BM
Kwa kuwa wadada,wamama,wanawake wanahitaji kuongozwa kwa zaidi ya 85 per ya kila wakifanyacho hata kama yupo 100 per sahihii.
 
Kwa kuwa wadada,wamama,wanawake wanahitaji kuongozwa kwa zaidi ya 85 per ya kila wakifanyacho hata kama yupo 100 per sahihii.
Unamaanisha tunapaswa kuwaongoza na kuwachunga dada zetu?
 
Screenshot_20240620-211647~2.png
 
Hta ungekua ni wewe utakubali dada yako awe na boyfrind
 
Back
Top Bottom