Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwa kuwa wadada,wamama,wanawake wanahitaji kuongozwa kwa zaidi ya 85 per ya kila wakifanyacho hata kama yupo 100 per sahihii.Habari za jioni wana jukwaa...
Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.
Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.
Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?
Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
#BM