Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #61
Ni fahari kuharibu Dada za watu lakini hugeuka maumivu makubwa Dada zao wakiharibiwaHuu nao ni ushamba shida inakuja pale mdogo wako kajazwa kitu alafu matumizi yameisha kaka mtu utaachakua na hasira mzee🤣🤣🤣ikitokea umeharibu kwa dada wa watu nawe inabidi likukabili pia
Mfano huyo mwenye kibunda ni mzee kabisa, yani Sponsor, Bado utakubali aendelee na Dada?Inategemea na mtu mwenyewe sio unamkuta kabunda na kakijana kamoja ka hovyo kaharibifu alafu unamuacha tuu
Ooook, tuliopita Cuba tumeshaelewa jombaaa. Hizo Koo usipime babuuu! 🤣Zipo kila taifa na kila kabila. Tunafahamiana, hakuna siri, si kama hivi mimi nawaelezea, isipokua mambo ya ndani huwezi kuyajua hata nikikuelezea, ni ya kiroho zaidi.
Tupo makontineti yote.
Saivi wapo kipesa zaid ata haiumiziNi fahari kuharibu Dada za watu lakini hugeuka maumivu makubwa Dada zao wakiharibiwa
Sasa huyo wa kufata masponsa ni malaya jini mkata kambaMfano huyo mwenye kibunda ni mzee kabisa, yani Sponsor, Bado utakubali aendelee na Dada?
nna dadaLakini Mkuu na wewe una Dada au mdogo wa kike?
Kama hajaolewa na wewe jiandae kukimbiza mtu 😂nna dada
Wanataka kufaidi wao tuWabinafsi sana.....
Binadamu yeyote ana asili ya uchoyo uliokomaa.Very selfcenteredness and selfish in nature.Na kanuni ya nature ni =it's neither created(modified)nor destroyed/removed permanently.Habari za jioni wana jukwaa...
Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.
Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada za watu kila kona ya mtaa.
Kwanini sisi wanaume hatupendi wanaume wenzetu wafaidi Dada zetu wakati sisi pia hufaidi Dada za watu?
Ama ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
#BM
Atagawa chapati kwa wastani wa idadi ya watoto wakeTabia anazofanya nape nauye kula chapati na rost za mafuta alizopata matokeo ya devision 4 unafikiri anataka wapate watoto wake
Ni kweli kuna selfishness, lakini endapo heshima kwa dada wa watu ikiwepo basi ni ngumu hata dada zetu kuchezewa.Binadamu yeyote ana asili ya uchoyo uliokomaa.Very selfcenteredness and selfish in nature.Na kanuni ya nature ni =it's neither created(modified)nor destroyed/removed permanently.
Sasa wataoa na kuolewaje wakiweka heshima kuzidi kiwango?Usiisumbukie asili.Itajitawala yenyewe kulingana na muda tu.Ni kweli kuna selfishness, lakini endapo heshima kwa dada wa watu ikiwepo basi ni ngumu hata dada zetu kuchezewa.
Sawa mkuu, kweli wacha asili ijitawale yenyeweSasa wataoa na kuolewaje wakiweka heshima kuzidi kiwango?Usiisumbukie asili.Itajitawala yenyewe kulingana na muda tu.
Mkiwa mnafahamiana kweli inaleta utata sana, pia hatakama hamfahamiani lakini ukiska habari zake lazima bado uta Mind tu.Huo wivu kwa madogo wa kike sijui huwa unatoka wapi...ila kwa dada mkubwa sio kivile..Kwa upande wangu huwa sipendi mtu ninaye fahamiana naye achukue Dada..Shemeji anatakiwa tusiwe tunafahamiana