Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Alafu siku nyingine tunaomba mtufanyie na sensa ili tujue life span ya ndoa za kina aunt na dada zenu.
 
Acha chuki mkuu. Wanyaki zamani kijana akienda kula bila kwenda na rafiki yake alikuwa anaweza kuchezea stiki toka kwa mzee wake. Hayo mambo ya ulafi na uchoyo ni mwiko kabisa. Pia uchawi ni mwiko.
Unazani kwann ilikuwa hivyo.
 
Mzee Hii ni Very Fact Hawa wana Inferiority Kubwa Saana! Halafu wanapenda kujibana wenyewe kama Mishikaki...Wabinafsi na ni waoga kweli ni watu ambao hawawezi kuleta Changes!
Sio kweli,
Ni vizuri mnavyotoa hizo tuhuma muwe mnataja na makabila yenu ili tuwalinganishe na wanyakyusa.
Maana mnajificha nyuma ya keyboard na kuandika kwa wino mwekundu kabisa bila aibu.
Hivi hapa Tanzania unaweza ukanitajia makabila matatu yenye elimu kubwa zaidi?
 
Alafu siku nyingine tunaomba mtufanyie na sensa ili tujue life span ya ndoa za kina aunt na dada zenu.
Tutajie na kabila lako ili tukuletee mrejesho kamili kuhusu dada na shangazi zako pia
 
Halafu utaje Makabila matatu yenye Hela Tanzania Nzima, Wanyakyusa wengi wanategemea Elimu na Pamoja na kuwa na Elimu wengi Ni MASKINI!
 
Huyo dogo kushinda tuzo ni bless toka kwa Muweza, kwa hiyo ishu ya ustaarabu na upole kwa wanyakyusa ni reference tu.
Sasa watu mapovu yanawatoka kama wanafukuzwa na Simba mwenye njaa kali
 
Tutajie na kabila lako ili tukuletee mrejesho kamili kuhusu dada na shangazi zako pia
[emoji23] [emoji23] hapa tunazungumzia vijana wa Mbeya na tabia zao na tunarekebishana, katika tembea yangu mikoa mingine nimeona mabaya mengi zaidi ambayo hata kama mada ikianzishwa ya makabila hayo unaweza kukuta kila unapochangia baada ya sentensi unavunja sheria za nchi.
 
Mjanga, Mbeya ikiamua inaweza kuipiku Kilimanjaro, Geographia nzuri haswa Tukuyu,Mwakaleli etc, lkn kumejaa vijijini na vijumba visivyo na mpangilio wa miji, watu wanaogopa kuwekeza kutokana na kuogopa vitisho vya ushirikina na majungu yasiyokwisha.
Nimetembea karibia Tanzania yote hauwezi kunidanganya chochote kuhusu jamii za kitanzania kuanzia mila, ubora wa makazi, tabia n.k
Wewe ni chuki binafsi zinazokusumbua na kujifanya unawajua sana wanyakyusa kumbe huna lolote bali chuki tu.
Eti Mbeya ikiamua inaweza kuipiku kilimanjaro....!!!!!
Kwa mawazo yako mafupi unafikiri kilimanjaro imeizidi Mbeya kitu gani?
 
asajile mwakajumba aka msajili wa majumba
 
Huna lolote bali chuki tu.
unaporekebisha kitu chochote lazima uwe na reference ya kitu bora kuliko hicho ambacho unarekebisha.
Sasa niambie wewe ni kabila gani ili watu wa mbeya wakifunze toka kwako?
 
Wenzetu wa Kilimanjaro haswa uchagani hakuna kijiji, sasa wewe unaendeleza kilema chako cha ubishi na ujivuni wakati ukweli unaujua, unapozungumzia Mbeya mimi napenda kuiondoa MBEYA MJINI ambayo kwa kiasi kikubwa imejengwa na kuendelezwa na Wakinga kwa 60% ambao wengi ndiyo wafanyabiashara wakubwa uku sehemu kubwa ya Wanyakyusa wao wakila kwa karamu maofisini.
 
Halafu utaje Makabila matatu yenye Hela Tanzania Nzima, Wanyakyusa wengi wanategemea Elimu na Pamoja na kuwa na Elimu wengi Ni MASKINI!
Andika hata na wino wa njano, ila ukweli utabaki pale pale kwamba wanyakyusa ni very strong and intelligent... over.
Utajiri wa kwanza ni elimu, halafu mengine yanafuata ndio wanachofanya wanyakyusa.
Taja na kabila lako ili tukusifie
 
Pole sana, mana unaongea usuchokijua.
Hivi unajua vizuri siri ya utajiri wa wakinga, wachaga, wahindi n.k
Kama unafikiri utajiri wa kafara ndio maendeleo unasikitisha sana.
Kilema ni wewe mwenye chuki binafsi kwa wanyakyusa kama mchawi.
Hivi kijana una mawazo ya kichawi hivyo, je ukizeeka si utakuwa shetani kabisa......!!!!!
Pole sana
 
Huna lolote bali chuki tu.
unaporekebisha kitu chochote lazima uwe na reference ya kitu bora kuliko hicho ambacho unarekebisha.
Sasa niambie wewe ni kabila gani ili watu wa mbeya wakifunze toka kwako?
Kwa Mbeya mjini ipo vizuri na inakua kwa kasi mno lkn tuanze na walioibeba Mbeya(Wanyakyusa) na maeneo yao kimaendeleo na tuanzie na pale Ndaga eneo lote la bonde la Mwakaleli, Ileje hadi border na Malawi na ikiwezekana hadi na visiwa vya Lake Nyasa kule kwa Wakisi hapa utakuja kuona Mbeya imedumaa kwa kuwaogopa Wanyamanyafu.
 
Huna lolote, wewe ni mchawi tu.
Hivi karne hii unaongelea vitu vya ajabu ajabu sijui hata unatoa wapi.
Mbeya imejengwa na watu wa Mbeya kwa ujumla wao, Mbeya imepigwa vita miaka mingi na watawala wa serikali kwa chuki za kisiasa lakini bado Mbeya ina maendeleo binafsi.
Sasa mambo yako ya kutaja wakinga, mara wafipa, mara kyela huo ni uchawi.
Hakuna mtu wa Mbeya anayezungumzia ukabila pale Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…