Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Kw
Kwenye kabila la kwenu wa hivi hawapo? Tunaongelea majority ww unaongelea mtu mmoja.
 
Ni miongo, minyanyasaji, ilivyojaa Wivu, Majungu, ushamba, fitina na kutojitambua.
Utakua mhanga wa mahusiano na kajamaa kamoja ka mbeya si bure
 
Ndaga malafyale.
Inabidi tujitokeze kuelezea mambo wasiyoyafahamu kihistoria juu ya mbeya.
Mbeya kiimani imegawanyika sana kutokana na jinsi imani zilivyoingia sehemu hii.
Wamissionari waliingia Mbeya kupitia Afrika kusini na Malawi, na wakajenga makazi Rungwe na mwisho jiji la Mbeya, hiyo ilikuwa miaka ya 1890s.

Miaka hiyo hiyo Chifu Mkwawa alizuia misafara ya aina yoyite kupita jimboni kwake, hivyo hata Uislamu ulipenya kwa mbinde.
Pamoja na hayo, Chifu Merere wa Kisafwa naye alikuwa na nguvu sana hivyo kukatiza Usangu hadi Mbeya ilikuwa shida.

Hivyo basi kuanzia sehemu za Mbozi kuelekea Rukwa kulikuwa na makanisa machache sana hata leo, na misikiti almost hakuna kabisa.

Watu waliendelea na imani zao.
Kwa msingi huo haya matukio ya imani mbaya, ushirikina na kadhalika chimbuko lake ni hilo.

Lakini siyo kwamba ndani ya jamii ambazo zilipokea wamissionari hakuna ushirikina, la hasha.
Hata leo kwa kujichanganya watu wanaasi imani zao.

Kwa ujumla watu wa Mbeya ni washika dini sana, na ni waimbaji hodari na wenye huruma na wakarimu kwa wageni.

Ila usije mchokoza mtu wa Mbeya, awe kabila lolote, atakufa masikini ili alipize.
Na vile vile ni watu emotional sana na wana mori.
Huwa hawana ujanja ujanja, wako straightforward, wazungu wanasema "they call a spade a spade".
 
Chuki binafsi hazikujengi kijana,
Wanyakyusa hawana tabia za kibaguzi namna hiyo hasa kwa familia, na wakifanya hivyo ujue alishaona alama za hatari kwa mke wake, mana wanyakyusa ni watu strong and intelligent
 
Kw

Kwenye kabila la kwenu wa hivi hawapo? Tunaongelea majority ww unaongelea mtu mmoja.

Cajojo huyo ni mfano tu lkn asilimia kubwa hawa wanaotoka kyera fuatilia mkuu ndiyo tabia haswa yao hata yule sana habari fuatilia mkuu na kwengine wako lkn nazungumzia kwa ujumla kutoka kyera lbd hao c wa mbeya mbona kuna yule aliyeamua kutulia kwa sasa kuachaana na siasa ni mtu mzuri wala hakuwa na hayo,mkuu nimekaa nao sana hao watu lnd kama unataka kutetea kwa kuwa unatoka huko na umeguswa lkn ndivyo walivyo lkn pia nisamehe bule.

Chuki binafsi hazikujengi kijana,
Wanyakyusa hawana tabia za kibaguzi namna hiyo hasa kwa familia, na wakifanya hivyo ujue alishaona alama za hatari kwa mke wake, mana wanyakyusa ni watu strong and intelligent
mm nimeishi na hawa watu karibu miaka 12 hv kwann niwe mbaguzi kwao nawajua vyema sana haswa hawa wakyera ndivyo walivyo mkuu
 
Chuki binafsi hazikujengi kijana,
Wanyakyusa hawana tabia za kibaguzi namna hiyo hasa kwa familia, na wakifanya hivyo ujue alishaona alama za hatari kwa mke wake, mana wanyakyusa ni watu strong and intelligent
Wala sina chuki nao nimekaa nao miaka 12 sjasema wote ila wakyera ni aslimia kubwa ndivyo walivyo unaweza sana usemavyo lkn ukweli mkuu ni huo ndivyo walivyo lkn pia ni watu wa kujipendekeza sana,kwani mwando ni wawapi mbona ni mwema sana?
 
Kwenye kabila lolote lazima kutakuwa na mtu mwenye mambo ya ajabu hata kama hilo kabila limestaarabika namna gani, sasa tabia ya mtu mmoja sio sababu yakuja kuwananga wanyakyusa hapa JF
 
Upo sahihi kabisa na wana vimajungu visivyoisha na ufahari kwenye misiba.
Wewe ni kabila gani hadi unaongelea hivyo wanyakyusa?
Chuki binafsi hizo kijana sijui ukizeeka utakuaje,,,,,!!!!
 
Ila katika mkoa wa Mbeya wapo Wanyakyusa wa aina 2,wapo wa Tukuyu ambapo kuna neema kubwa toka kwa Mungu na wengine Wanyakyusa wa Kyela hawa Wanyakyusa wa Tukuyu wengi wapo fresh ila shida inakuja kwa hawa wa Kyela wengi wao ni watu wa misifa na huwezi kuwatofautisha na ndugu zetu wa kutoka Kagera
 
Kwenye kabila lolote lazima kutakuwa na mtu mwenye mambo ya ajabu hata kama hilo kabila limestaarabika namna gani, sasa tabia ya mtu mmoja sio sababu yakuja kuwananga wanyakyusa hapa JF
Mitindo c kweli tumekuja kuwananga hawa watu kifupi ni wabaguzi sana tena mno lbd hujawahi ishi nao au unatetea lbd unatoka huko mkuu lkn ni shida kubwa hawa watu haswa wakyera na rudia tena ni shida kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…