funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Ni wazi lipo rika la vijana ambalo ndio tunalitarajia lituvushe katika kipindi cha miaka 30 hadi 40 ijayo.
Wapo waliobahatika kuingia kwenye korido za Chama na Serikali...ingawa baadhi yao hawana vifua vya chuma.
Hapa naongelea uropokaji wa vijana hawa both ndani ya CCM na ndani ya vyama vingine vya siasa.
Uropokaji wao unaondoa dhana ya kuwaamini vijana katika nyanja za uongozi,itikadi na mikakati ya kitaifa.
Utawasikia au kuwaona
-Wanajidai wanaongea na Generals
-Wanapost picha na vikosi vya jeshi
-Wanaichukulia Taasisi ya Urais kiulaini kisa waliwahi kupata fursa.
-Wanaropokwa mazungumzo ya faragha walipopata connection.
Tabia hii mbaya ya kilevi haipaswi kuchekewa bali ikemewe na vijana hao wajue wana dhamana kubwa mbele yao...dhamana ya kuwavusha GEN Z Salama.