Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
wapo.... Mabalevo... Mwiyakoo... Dullivan...KWANI TZ KUNA VIJANA??
SINA UHAKIKA...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapo.... Mabalevo... Mwiyakoo... Dullivan...KWANI TZ KUNA VIJANA??
SINA UHAKIKA...
Bila kusahau ndo rika linaloongoza kwa kufuatilia seasons za kihindi na kikorea. Mtu anafuatilia seasons 2000.
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
SureVijana wa tz wote ni "sexless" mkuu hawajitambui kabisaaa
Unafikiri kuandamana ndio akili? Alafu wewe umekaa na familia yako nyumbani unataka wenzako waandamane. Anza wewe Kwanza.Mtanzania gani hana njaa? Yupi ana uhakika wa kupata mkopo?
Hii nchi ni ya wajinga na wapumbavu full stop. Hakuna la zaidi!
Kuandamana sio kipimo cha akili!Cha kushangaza hawa wenye shibe ndio hawana akili 😅😅😅
Au wanakula sumu na kusomea ujinga?
Unapenda ubishi wa kijingaKuandamana sio kipimo cha akili!
Kwahiyo wewe kuandamana ndio waona akili?Unapenda ubishi wa kijinga
Sijui kwann huwa mnapenda kuona vijana wa kitanzania hawana wanalojua wala kuelewa kisa tu hawapendelei violence kama njia ya kutatua matatizoKwa kweli hata mimi imenishangaza sana kwa uelewa mkubwa walio nao hao vijana kuhusu hali ya nchi yao kiujumla.
Hapa kwetu inachangiwa na elimu yetu kuwa mbovu sana, na pia hizi propaganda za CCM zimewaingia sana vichwani, kiasi kwamba hawajui kingine chochote, isipokuwa CCM.
Wapinzani wenyewe pia ni hao akina Cheyo, Lipumba, n.k..
Wakenya wanawazidi vitu vingi wala msijilinganishe nyie endeleeni na stori za tema mate iteleeze pangoni, inama inama ichonekwe( ushoga) na connections bila kusahau kubeti, simba na yanga basi. You can not think beyond here.Kwahiyo wewe kuandamana ndio waona akili?
Haya sawa.. Maandishi yako speaks enough about the real youWakenya wanawazidi vitu vingi wala msijilinganishe nyie endeleeni na stori za tema mate iteleeze pangoni, inama inama ichonekwe( ushoga) na connections bila kusahau kubeti, simba na yanga basi. You can not think beyond here.
Kwa hiyo wanapoandamana duniani huko wote hawana akili?Unafikiri kuandamana ndio akili? Alafu wewe umekaa na familia yako nyumbani unataka wenzako waandamane. Anza wewe Kwanza.
Hiv kwann huwa mko obssesed sana na hii spirit ya "kuzidi/kuzidiwa" , why??Umewazidi nini kwa mfano wewe usieandamana?
JE kipindi upo kijana katika umri wa 20's ulipambania katiba au kipindi hicho katiba ilikua poa tu tofauti na sasa kama jibu hapanaHuku uwaambie kula kimasihara, kupigania katiba aaah