Vijana wa miaka 20 Kenya wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa Tanzania wanakwama wapi?

Vijana wa miaka 20 Kenya wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa Tanzania wanakwama wapi?

Bila kusah

Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Bila kusahau ndo rika linaloongoza kwa kufuatilia seasons za kihindi na kikorea. Mtu anafuatilia seasons 2000.
 
1000140849.jpg
 
Kwa kweli hata mimi imenishangaza sana kwa uelewa mkubwa walio nao hao vijana kuhusu hali ya nchi yao kiujumla.
Hapa kwetu inachangiwa na elimu yetu kuwa mbovu sana, na pia hizi propaganda za CCM zimewaingia sana vichwani, kiasi kwamba hawajui kingine chochote, isipokuwa CCM.

Wapinzani wenyewe pia ni hao akina Cheyo, Lipumba, n.k..
Sijui kwann huwa mnapenda kuona vijana wa kitanzania hawana wanalojua wala kuelewa kisa tu hawapendelei violence kama njia ya kutatua matatizo
 
Tanzania na Kenya ni Chongo na Kipofu respectively
Kenya is more than 10 times corrupt to Tanzania. Mbaya zaidi corruption zenyewe za Kenya ziliasisiwa 1960s na viongozi waandamizi waliorithi ul'wa toka kwa Waingereza
Mbaya ya zaidi ya zaidi corruption yenyewe ilikuwa based on land grabbing
Ukiangalia sana Ruto is not a sole problem, he is part and parcel of the problem
Umewasifia wa Kenya kwamba ni mahiri wanazungumza wakijiamini. Lakini ukiangalia sana wao wanazungumzia zaidi juu ya dalili za tatizo na sio mzizi wa tatizo la Kenya. Wanachezeshwa comedy na akina Odinga, Uhuru na Ruto. Mzizi wa tatizo la Kenya ni land grabbing by fewer politicians

Katika uzalishaji the mother of all resources is Land, sasa Kama over 50% of Kenya's is owned by Kenyatta Family unatarajia nini ?
 
Achana na hao madogo wapo wanakula bata na bado kesho yao haijawa giza kama madogo wa Kenya...

Hawa viongozi wetu ambao ni wakubwa na tumewapa dhamana ya kufanya ya kufanya na all so called upinzani wanafanya nini kwa mustakabali wa taifa letu zaidi ya kuliweka rehani ?
 
Huku uwaambie kula kimasihara, kupigania katiba aaah
JE kipindi upo kijana katika umri wa 20's ulipambania katiba au kipindi hicho katiba ilikua poa tu tofauti na sasa kama jibu hapana
basi nawewe kipindi cha ujana wako ulikua unafocus kula kimasiahara na si kupambania maslahi yako na nchi yako kwa ujumla

#asiefaa kafaa
#power of subconcious mind
#law of life.
 
Back
Top Bottom