Kushidwa hoja "nonsense" taitizo watu CCM kama Warioba hamna tena wamebakia wajinga jinga kama wewe ndiyononsense
nonsense
nonsense
haki ya kijana wa kiume kuolewa ni nonsense,Huwezi kuwalegeza vijana kuacha kudai haki zao kwa kuwapa rojo na uchawa. Vijana wanaona mambo mabaya na miaka ijayo vijana wanaongezeka hawapungui! Ushauri wangu ni kwamba tutengeneze mazingira mazuri na maendeleo hizi porojo za CCM na Samia ni kupoteza muda. Kwa wale wanajali nchi hasa wana CCM amkeni bila hivyo mtakuja kuikimbia hii nchi
kwa faida ya wadau wote wa JF, plz jieleze gentleman.