MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Nimefuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala ya Tiktok nikagundua huwa hawatoki online.
Nadharia yangu miongoni mwao hizo live kuna Mapolisi na maafisa vipenyo ambao wanafanya kazi ya kuzirekodi na kujaribu kuvuruga mijadala ambayo inaweza ikawa na tija na mbinu. (Wapo wanafanya doria)
Katika hii mijadala watu ninaosisitiza muwaepuke(kuweni makini) ni waopenda kuleta mada na mijadala ya kufanya fujo, kuchoma shule na mambo mengine ya aina hiyo. Anayetaka(mwenye uwezo) kufanya matukio ya aina hiyo huwa hajitangazi, mara mpange kulipua madaraja 🤣🤣🤣, yaani una ujasiri wa kulipua daraja unashindwa nini kumchapa kibao Msigwa.
Gen-Z zungumzeni mambo ya kiraia, fichueni ufisadi, fundishaneni elimu ya uraia
Mwisho usije ukaamini mtu mtandaoni kisa onaongea sana