Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Vijana wa chips hawawezi kuvitosheleza vibinti ndiyo vinalazimika kuwafuata wazee
Wamama watu wazima wana uwezo wa kuwa manipulate hao vijana kitu ambacho vibinti haviwezi
dah!
aise, kumbe mambo mazito hivi duh πŸ’
 
lololoh!
kumbe huwa ni biashara ya mapenzi tu na hakuna mapenzi ya dhati moyoni πŸ’

au ndio maana ndoa nyingi ni kichefuchefu sasa hivi labda pesa imekata πŸ’
 
Mapene ya kubeti tu Dingi Lai mishangazi si unajua na mihela yaoπŸ˜‚πŸ˜‚
sifahamu,
kwa hiyo wana mihela sanaee hiyo mishangazi gentleman? πŸ’

Uskute umeshanunua bajaji,
kwan umeanza nalo lini hilo lishangazi mjuba πŸ’
 
Aise!πŸ’
 
Chanzo ni uvivu ,tamaa na kuoopa maisha,

Ukiwa na mwanamme mzee , kwanza kukupata ameweka ahadi nyingi,

Anakugharamia ili asikupoteze,

Hana cha muhimu kwako zaid ya ngono tu

Wanawake watu wazima wanatafuta kukunwa vizuli na tuvijana huku vijana wakitafuta unafuu wa maisha kwa kuchakata mbususu za wamama
 
Zamani binti na kibabu ilitrend ila ikaja kuwa maarufu ila siku hizi vijana wanalipua kwa mishangazi,halafu ishakuwa kawaida.Ila ukichunguza vibinti na vimario vyote vinanjaa.
 
Mashangazi yanataka ben 10 damu inachemka wanywa energy ,wapaka mikongo na wajomba wanadaka vitoto vya 2000 vinavyojua manjonjo vinavyojua kubembeleza vikionyeshwa maokoto.
so,
mishangazi inahitaji kupelekewa motro na viben10

then mijibaba inataka vionjo vipya kubembelezwa na kudekewa huku maokoto yakiwa mezani dah πŸ’
 
sababu ya kwanza ni nzito na muhimu sana aise, dah πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…