Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Wewe tayari unafaa, kidume wa 45 anakuweka ndani vizuri kabisa. Nimesimamia ndoa mbili, moja jamaa yuko 45 dada yuko 28, nyingine jamaa 42 dada 26. Kawaida sana hiyo.
Kumbe,,basi nkaombe msamaha, coz jana nilimtukana aniache
 
Si ndio,,,na pregnant ingine juu,, namwambia ni kisirani cha mimba kilifanya nimtukane jana hata haelewi pia
Aisee unatendea mayai yako haki, safi sana. Sasa unaamuachaje baby daddy wakati mna watoto kisa tu umri?
 
Tafuta wako utajua kwa nini
 
Tafuta wako utajua kwa nini
hoja sio suala la kutafuta wako,

hiyo ni hali halisi iliyopo hivi sasa katika jamii, tunajaribu kubainisha sababu ni nini hasa na wangwana πŸ’
 
Wewe ulimlisha matango pori, ananiona kama vice shetani Yani πŸ˜…πŸ˜…
Ss hivi nimeokoka nitahakikisha unachukua goma lile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na kwa hili nitalisimamia mwenyewe winga
 
Wa umri wa kwao ni takataka tu. Slayqueens..hawajui hata kufua chupi zao na makucha marefu kama mazombie...kutwa kuchwa wanashinda tiktok wanajiuza

We zombie haujui..
 
Kwamba uzi huu tu ubadilishe mawazo na maisha yako ya mahusiano, just like that...mkuu unadanganya.
sasa nyuzi si zinaanzishwa kwaajili yetu tujifunze na kung'amua mambo,, sidanganyi
 
lololoh!
kumbe huwa ni biashara ya mapenzi tu na hakuna mapenzi ya dhati moyoni πŸ’

au ndio maana ndoa nyingi ni kichefuchefu sasa hivi labda pesa imekata πŸ’
Its an informal business ni vile tu haina tin number na taxes to the Gavoo
 
Wanataka kulelewa, ndio maana wengi wao wakihongwa pesa na wao wanaenda kuhomga wanawake wa rika lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…