Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Asikose hela, dunia ya sasa haihitaji nguvu, yahitaji pesa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na Pesa ni zao la nguvu + Akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asikose hela, dunia ya sasa haihitaji nguvu, yahitaji pesa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwani huyu Cocastic si ni demu!?Wewe ukajionea shida ya nini!! Ukaamua kuleft group na kuwa mpakwa mafuta
Duuh Mungu atusimamie kwakweliAnaandika, Robert Heriel
Baba
Ni mwiko kuona mwanaume akilia au kutoa machozi, na kama atalia labda iwe ni kwa sababu ya kifo cha mzazi au mke au mtoto anayempenda, na hata akilia wakati msiba wa watu hao hapaswi kulialia kama mtoto au mwanamke. Kuna kulia kiume, sio unapigapiga makelele na kugaragara, unalia kama mwanaume, kama mfalme, kama baba na kiongozi wa familia na jamii.
Mtoto wa kiume ni kama simba dume, tangu akiwa mtoto lazima aandaliwe kukabiliana na jambo lolote liwe gumu au liwe rahisi, bila kulialia na kuomba misaada ya kijinga. Uanaume ni ukakamavu, ubishi, kugangamala.
Mtoto wa kiume aambiwe ukweli kuwa amezaliwa ili kutawala, kuyafanya maisha yawe rahisi, kusaidia jamii yake, kuipigania jamii yake, na sio jamii impiganie. Wanaopiganiwa ni wanawake na watoto kwa sababu hawana nguvu ya misuli na hawana akili kama sisi wanaume.
Mwanaume yupo kwa ajili ya mambo mazito na magumu yanayosumbua familia na jamii yake. Jambo lolote ambalo lipo kwenye jamii unaloliona ni zito na gumu kwenye jamii basi jua jambo hilo lipo kwaajili ya kushughulikiwa na wewe kijana. Sio utake wengine wakufanyie au walitatue, huo sio uanaume.
Wahenga waliimba mwanaume ameumbiwa mateso na kuhangaika. Mwanaume lazima uwe shupavu, mkakamavu bila kuwa legelege, lazima uwe hodari, jasiri na shujaa pasipo kuogopa Jambo lolote.
Kijana lazima afundishwe njia za kawaida na njia/mbinu mbadala za kupambana na mambo atakayokutana nayo kwenye maisha. Sio kijana mbinu moja imefeli anaanza kulialia na kulaumu. Mwanaume lazima afundishwe kutumia nguvu na akili.
Mwanaume ni sehemu ya jamii, mwanaume hamilikiwi na mtu au mkewe, ila yeye ndiye anamiliki yote katika jamii yake.
Huo ndio uanaume, yoyote atakayefikiri kinyume na hapo hawezi kuwa kundi la wanaume halisi.
Madhara ya mwanaume alishindwa kuwa mkakamavu, shupavu, hodari na jasiri;
1. Atashindwa kujiongoza yeye mwenyewe.
2. Atashindwa kuongoza mji wake na watoto wake.
3. Jamii yake itaanguka.
4. Atakuwa ni mtu wa kuonewa na kudharauliwa.
5. Hatakuwa na thamani yoyote hata wanawake watamzidi thamani.
Wazazi hasa kina baba, mimi Taikon kwenye andiko hili ninawapa moyo, kazeni mikanda, ninyi ni wababa, ninyi ndio serikali hapo nyumbani.
Jambo lolote lisiloenda sawa kabilianeni nalo, lile linalozidi mipaka nanyi zidisheni mipaka. Hata serikali ndivyo inavyofanya kazi, anayezidisha mipaka atashughulikiwa kwa namna ya kuogofya ili iwe funzo kwa wengine.
Hakuna kuchekacheka hapa, ni mawili wanyooke wakikaidi hakuna namna, ni watoto wako mwenyewe.
Msiogope. Uanaume ni ujasiri. Jicho lako lisiwe na huruma hata chembe ukiwa kama baba/mwanaume.
Taikon nami ni baba, haya tutayaonesha kwa vitendo ili iwe case study kwa wengine, ili isije semwa na watu kuwa anaandika au kuongea tuu.
Ni yule Mtibeli, kutoka nyota ya Tibeli. Mnyanyembe wa Tabora.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Ukiwa na hela halafu ukawa legelege what do you expect?Asikose hela, dunia ya sasa haihitaji nguvu, yahitaji pesa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yeah ni demu anayeunga mkono LGBTQ rightsKwani huyu Cocastic si ni demu!?
Hajapigwa machine ya uhakika.Yeah ni demu anayeunga mkono LGBTQ rights
Anachukua masters udsm hapo
23 years age
Hahaha hapo sijui aliwahi sema kapigwa mtungo na wanaume wa 3 alivyokuw jeshini hivyo sijuiHajapigwa machine ya uhakika.
Narudia tena, kupata shida na majanga sio sifa
Nawenye pesa sio waendesha maguta Wala wauza mikaaa ni hawa madogo mnaosema ngozi laini watoto wa mamaAsikose hela, dunia ya sasa haihitaji nguvu, yahitaji pesa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
💯💯Mwanaume yupo kwaajili ya kupambana na kukabiliana na majanga.
Sasa ulitaka Wanawake ndio wapambane na majanga.
Duuh Mungu atusimamie kwakweli
Maana jinsi wanavyo left group its so sad mkuuu
Kwakeli kama dodoma ndo usiseme ukiwa na vihela unagonga hata wanawake wa familia nzima daaah aseee au wambulu ndo usiseme unaji sevia tuWaache wa-left tutaoa mpaka Mama zao si wamekosa Baba WA kuwafunza adabu
Ni akili mgando za walala Hoi kutoka maporini huko mafukara yaliyokimbilia mjini yanashindia ugali kachumbali, ila ukweli ni kuwa mwanaume ni jinsia nasio kuteseka kama mandonga mtu kazi.Mwanaume yupo kwaajili ya kupambana na kukabiliana na majanga.
Sasa ulitaka Wanawake ndio wapambane na majanga.
Kusema watu wenye thaman ya Mavi ni kukosa busara, huna hekima kiongozi huwez ita binadamu mwenzako ni MaviSizungumzii mashoga, nazungumza na wanaume wenzangu kukumbushana kuhusu namna ya kuendelea kutunza thamani na heshima yetu.
Siwezi zungumzia Watu wenye thamani ya mavi.
Mavi yaache yawe mavi.
Wanachosha, tuwasamehe bureUshogaa hausababishwii kwa hayo ulosema wee hapa,
Mnaanzishaa nyuzi nyingi kuhusu uanaume halisi, kwan shida nn? Kwan hao wanaume hawajui uhalisia wao? Kila siku threads ni hizoo tyuuh,
Mnachoshaaa, km hawataki uanaume halisi acha wawe fake. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nina miexi mitano kwa taarifa yako account zangu 2 zimepigwa ban zinafunguliwa 26/4Una wiki moja tu jf unaanza kututukana, Mungu akubariki [emoji120]
Ni akili mgando za walala Hoi kutoka maporini huko mafukara yaliyokimbilia mjini yanashindia ugali kachumbali, ila ukweli ni kuwa mwanaume ni jinsia nasio kuteseka kama mandonga mtu kazi.
Ndonyie mnasema chipsi kuku chakula cha wanawake nyie mnalalia mihogo ya kuchemsha
Tena Durex na st John's baby, yanatelezaa vizuri mnooo.Wewe ukajionea shida ya nini!! Ukaamua kuleft group na kuwa mpakwa mafuta
Daima ukweli mchungu ila ukweli ndiyo hivyo. Hakuna binadamu mwenye matendo ya kishetani.Kusema watu wenye thaman ya Mavi ni kukosa busara, huna hekima kiongozi huwez ita binadamu mwenzako ni Mavi