Vijana waambiwe ukweli kwamba Uanaume ni Ukakamavu, Uhodari na Ushujaa

Watu wanaongea kirahisi humu ndani lakini Kuna matukio mazito na magumu yanayoweza kumfanya mwanaume alie, japokuwa hatojionesha kwa watu Ila kuna namna akikaa mwenyewe lazima ajutie na kulia kwa uchungu uliopitiliza, Enewei najua wengi waliocoment hawajawahi experience mambo mazito na siku likiwatokea huenda wakalia kama watoto maisha yao yote
NB:KWENYE KULIA HAKUNA MWANA-UUME WALA MWANA-UKE
Endeleeni kuishi
 
I'm done Pal'
I'm always love to challenge you in a matter of facts.
Be blessed and the love of God upon you.
Much Appreciation✌️

Adios Amigo.

😀😀🙏🏾🙏🏾
Kila la kheri.

Kupata na kukosa ni majaliwa.
Ila UANAUME sio majaliwa, ukishazaliwa mwanaume ni wajibu na jukumu lako kuishi kama Mwanaume.

Kitu alichokitengeneza Mwanadamu hakiwezi kuwa kipimo cha utu au uanaume WA MTU
 
Watu wanaongea kirahisi humu ndani lakini Kuna matukio mazito na magumu yanayoweza kumfanya mwanaume alie, japokuwa hatojionesha kwa watu Ila kuna namna akikaa mwenyewe lazima ajutie na kulia kwa uchungu uliopitiliza, Enewei najua wengi waliocoment hawajawahi experience mambo mazito na siku likiwatokea huenda wakalia kama watoto maisha yao yote
NB:KWENYE KULIA HAKUNA MWANA-UUME WALA MWANA-UKE
Endeleeni kuishi

Unachosema ni Sahihi mkuu
 
Watakuja kukusema wewe ni shoga, subiri
 
Back
Top Bottom