Vijana waambiwe ukweli kwamba Uanaume ni Ukakamavu, Uhodari na Ushujaa

Vijana waambiwe ukweli kwamba Uanaume ni Ukakamavu, Uhodari na Ushujaa

Kitoto cha shetan kazini[emoji23],yaani ww katoto ka farao ukisikia mada imegusia tu kukemea mambo yanayohusu mtu kuwa choko utakuja mbio kutetea!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumechokaaa na threads kila siku aaaaah.
 
Nimashakuambia hakuna Shoga Mkakamavu, labda haujui maana ya ukakamavu, ushupavu, ushujaa na uhodari.

Ushamba na ukosefu WA Elimu ndio utaliona uone bila Pesa MTU ni sanamu.

Pesa imekuja miaka ya hivi karibuni, hao waliokuwa wanaishi zamani walikuwa masanamu?

Sio ajabu nawe Una shahada lakini mambo madogo kama haya yanakupiga chenga.
Lazima uelewe kwamba Time Flies.

Unachojaribu kusema ni sifa za mwanaume wa Old skul life, sijui lazima awe miraba minne, jasiri, hodari, n.k

Lakini now days mambo yamebadilika mwanaume lazima uwe cash hili uweze kulisha familia pamoja na kuisaidia jamii husika inayokuzunguka.

Hayo mambo ya ujasiri, ukakamavu, uhodari, mwachie Mandonga
 
Nenda Kwa hadzabe au Watindiga alafu useme mambo ya Pesa uone kama watakuelewa.

Hapa tunazungumzia ishu tangu mwanzo mpaka mwisho, inayocover Ulimwengu mzima

Pesa haikutumika zamani na bila Shaka haitatumika miaka Mia mbili ijayo.

Huwezi itwa mwanaume kama huna Sifa hizo.
Kama Pesa ndio inamfanya MTU aitwe mwanaume basi hata Wanawake wenye Pesa wangeitwa wanaume.

Ni Akili ndogo tuu isiyojua vitu vidogo kama hivyo
 
I'm done Pal'
I'm always love to challenge you in a matter of facts.
Be blessed and the love of God upon you.
Much Appreciation✌️

Adios Amigo.
 
Thread hii ingekuja mapema ingesaidia sana kuokoa Vijana wetu waliokwishakuharibika kwa kujiingiza Kwenye ushoga Kwasababu ya kupenda mteremko.
 
Kama haujui hata mashoga wapo wakakamavu, shupavu na jasiri.
Hata hao wanawake wapo wakakamavu, shupavu na jasiri - ndiyo maana kuna tuzo za mwanamke jasiri na mwenye uthubutu.

Kupitia scenario hiyo basi kusingekuwa na mashoga + wanawake katika idara hizi askari polisi, wanajeshi, makomandoo, magereza n.k

Sio jamii maskini tu, popote uendako lazima uwe na cash plus smarter kwenye brain lasivyo utaangukia pua.
Tena mashoga mengi yanashinda jimu kuweka misuli Sawa, ukileta za kuleta hata wewe unafuliwa vya kutosha
 
Mcheki mbavu huyu, lakini ni shoga.

Ruggero Freddi
- A former Gay Porn Star
1680099903635.jpeg

Mwalimu mpwayungu village
 
Back
Top Bottom