Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,731
Kwa TZ?Wapo vijana wengi tu wanachukua masters ktk umri huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa TZ?Wapo vijana wengi tu wanachukua masters ktk umri huo
Ndio maana nikakuambia ni muhimu kuwa flexible, yanastohali unaenda nayo na yale yasioendana na muda husika unayaacha au kuyaboresha
Hizo ni sifa za kijinga..........Mwanaume unatakiwa uwe smart kwenye brain + financial stability.......vingine ni blah blah blah tu, ayo ni mambo ya Old skul vibes.
Robert Heriel Mtibeli punguza maneno mengi
Toka umemaliza Birthdate Party naona kabisa umekuja na ujumbe wa kidunia
Umemaliza kila kitu mwamba!
Kama haujui hata mashoga wapo wakakamavu, shupavu na jasiri.Hata Wanawake wanaweza kuwa smart kwenye Brain + financial stability.
Hata mashoga wanaweza kuwa smart kwenye brain + financial stability.
Mwanaume mbali na Akili ni lazima awe Mkakamavu, shupavu, jasiri, hodari na shujaa. Huo ndio uanaume.
Jamii Maskini ndio zinafikiri uanaume ni kuwa na Pesa pekeake,
Sijawah kukuona ila sauti ya ndan kabsa inaniambia wewe ni mwanamke , kamwe sijawah fikr ww ni namna namna kama wadau wanavyodai.Tena mzoefuuu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui sasa.Sijawah kukuona ila sauti ya ndan kabsa inaniambia wewe ni mwanamke , kamwe sijawah fikr ww ni namna namna kama wadau wanavyodai.
Umemalizaaa ni sanamuuu haswaaaa.Kwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba kuna mashoga na wanawake wakakamavu.
Nashukuru kwa kuelewa pia kuwa mwanaume bila pesa, unakuwa ni sanamu ya jinsia ya kiume.
Kwel kabsa mkuu mwanaume anatakiwa awe na akili mingi ukakamavu na ujasiri wa kutisha kama simba , wakishindwa wajifunze kwa Bob junior.Anaandika, Robert Heriel
Baba
Ni mwiko kuona mwanaume akilia au kutoa machozi, na kama atalia labda iwe ni kwa sababu ya kifo cha mzazi au mke au mtoto anayempenda, na hata akilia wakati msiba wa watu hao hapaswi kulialia kama mtoto au mwanamke. Kuna kulia kiume, sio unapigapiga makelele na kugaragara, unalia kama mwanaume, kama mfalme, kama baba na kiongozi wa familia na jamii.
Mtoto wa kiume ni kama simba dume, tangu akiwa mtoto lazima aandaliwe kukabiliana na jambo lolote liwe gumu au liwe rahisi, bila kulialia na kuomba misaada ya kijinga. Uanaume ni ukakamavu, ubishi, kugangamala.
Mtoto wa kiume aambiwe ukweli kuwa amezaliwa ili kutawala, kuyafanya maisha yawe rahisi, kusaidia jamii yake, kuipigania jamii yake, na sio jamii impiganie. Wanaopiganiwa ni wanawake na watoto kwa sababu hawana nguvu ya misuli na hawana akili kama sisi wanaume.
Mwanaume yupo kwa ajili ya mambo mazito na magumu yanayosumbua familia na jamii yake. Jambo lolote ambalo lipo kwenye jamii unaloliona ni zito na gumu kwenye jamii basi jua jambo hilo lipo kwaajili ya kushughulikiwa na wewe kijana. Sio utake wengine wakufanyie au walitatue, huo sio uanaume.
Wahenga waliimba mwanaume ameumbiwa mateso na kuhangaika. Mwanaume lazima uwe shupavu, mkakamavu bila kuwa legelege, lazima uwe hodari, jasiri na shujaa pasipo kuogopa Jambo lolote.
Kijana lazima afundishwe njia za kawaida na njia/mbinu mbadala za kupambana na mambo atakayokutana nayo kwenye maisha. Sio kijana mbinu moja imefeli anaanza kulialia na kulaumu. Mwanaume lazima afundishwe kutumia nguvu na akili.
Mwanaume ni sehemu ya jamii, mwanaume hamilikiwi na mtu au mkewe, ila yeye ndiye anamiliki yote katika jamii yake.
Huo ndio uanaume, yoyote atakayefikiri kinyume na hapo hawezi kuwa kundi la wanaume halisi.
Madhara ya mwanaume alishindwa kuwa mkakamavu, shupavu, hodari na jasiri;
1. Atashindwa kujiongoza yeye mwenyewe.
2. Atashindwa kuongoza mji wake na watoto wake.
3. Jamii yake itaanguka.
4. Atakuwa ni mtu wa kuonewa na kudharauliwa.
5. Hatakuwa na thamani yoyote hata wanawake watamzidi thamani.
Wazazi hasa kina baba, mimi Taikon kwenye andiko hili ninawapa moyo, kazeni mikanda, ninyi ni wababa, ninyi ndio serikali hapo nyumbani.
Jambo lolote lisiloenda sawa kabilianeni nalo, lile linalozidi mipaka nanyi zidisheni mipaka. Hata serikali ndivyo inavyofanya kazi, anayezidisha mipaka atashughulikiwa kwa namna ya kuogofya ili iwe funzo kwa wengine.
Hakuna kuchekacheka hapa, ni mawili wanyooke wakikaidi hakuna namna, ni watoto wako mwenyewe.
Msiogope. Uanaume ni ujasiri. Jicho lako lisiwe na huruma hata chembe ukiwa kama baba/mwanaume.
Taikon nami ni baba, haya tutayaonesha kwa vitendo ili iwe case study kwa wengine, ili isije semwa na watu kuwa anaandika au kuongea tuu.
Ni yule Mtibeli, kutoka nyota ya Tibeli. Mnyanyembe wa Tabora.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Kwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba kuna mashoga na wanawake wakakamavu.
Nashukuru kwa kuelewa pia kuwa mwanaume bila pesa, unakuwa ni sanamu ya jinsia ya kiume.
So what??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Face to face, Glock at my hand, one shot and you are no more fag. peeps need to clean the world against the people of your behavior. very stupid.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sinza ipi shouga angu?? Hebu semaBwabwa la sinza hilo
Poleeeeeeeh shostieee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiama chenu kimefika
Ni kweli eti huwa wanakufukunyua Kwa back?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sinza ipi shouga angu?? Hebu sema
Kitoto cha shetan kazini[emoji23],yaani ww katoto ka farao ukisikia mada imegusia tu kukemea mambo yanayohusu mtu kuwa choko utakuja mbio kutetea!!!Ushogaa hausababishwii kwa hayo ulosema wee hapa,
Mnaanzishaa nyuzi nyingi kuhusu uanaume halisi, kwan shida nn? Kwan hao wanaume hawajui uhalisia wao? Kila siku threads ni hizoo tyuuh,
Mnachoshaaa, km hawataki uanaume halisi acha wawe fake. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii tuna print tunaweka ndani kusaidia hiki kizazi chetu, mtoto wa kiume akiwa anasoma anajua mimi ni mwanaumeAnaandika, Robert Heriel
Baba
Ni mwiko kuona mwanaume akilia au kutoa machozi, na kama atalia labda iwe ni kwa sababu ya kifo cha mzazi au mke au mtoto anayempenda, na hata akilia wakati msiba wa watu hao hapaswi kulialia kama mtoto au mwanamke. Kuna kulia kiume, sio unapigapiga makelele na kugaragara, unalia kama mwanaume, kama mfalme, kama baba na kiongozi wa familia na jamii.
Mtoto wa kiume ni kama simba dume, tangu akiwa mtoto lazima aandaliwe kukabiliana na jambo lolote liwe gumu au liwe rahisi, bila kulialia na kuomba misaada ya kijinga. Uanaume ni ukakamavu, ubishi, kugangamala.
Mtoto wa kiume aambiwe ukweli kuwa amezaliwa ili kutawala, kuyafanya maisha yawe rahisi, kusaidia jamii yake, kuipigania jamii yake, na sio jamii impiganie. Wanaopiganiwa ni wanawake na watoto kwa sababu hawana nguvu ya misuli na hawana akili kama sisi wanaume.
Mwanaume yupo kwa ajili ya mambo mazito na magumu yanayosumbua familia na jamii yake. Jambo lolote ambalo lipo kwenye jamii unaloliona ni zito na gumu kwenye jamii basi jua jambo hilo lipo kwaajili ya kushughulikiwa na wewe kijana. Sio utake wengine wakufanyie au walitatue, huo sio uanaume.
Wahenga waliimba mwanaume ameumbiwa mateso na kuhangaika. Mwanaume lazima uwe shupavu, mkakamavu bila kuwa legelege, lazima uwe hodari, jasiri na shujaa pasipo kuogopa Jambo lolote.
Kijana lazima afundishwe njia za kawaida na njia/mbinu mbadala za kupambana na mambo atakayokutana nayo kwenye maisha. Sio kijana mbinu moja imefeli anaanza kulialia na kulaumu. Mwanaume lazima afundishwe kutumia nguvu na akili.
Mwanaume ni sehemu ya jamii, mwanaume hamilikiwi na mtu au mkewe, ila yeye ndiye anamiliki yote katika jamii yake.
Huo ndio uanaume, yoyote atakayefikiri kinyume na hapo hawezi kuwa kundi la wanaume halisi.
Madhara ya mwanaume alishindwa kuwa mkakamavu, shupavu, hodari na jasiri;
1. Atashindwa kujiongoza yeye mwenyewe.
2. Atashindwa kuongoza mji wake na watoto wake.
3. Jamii yake itaanguka.
4. Atakuwa ni mtu wa kuonewa na kudharauliwa.
5. Hatakuwa na thamani yoyote hata wanawake watamzidi thamani.
Wazazi hasa kina baba, mimi Taikon kwenye andiko hili ninawapa moyo, kazeni mikanda, ninyi ni wababa, ninyi ndio serikali hapo nyumbani.
Jambo lolote lisiloenda sawa kabilianeni nalo, lile linalozidi mipaka nanyi zidisheni mipaka. Hata serikali ndivyo inavyofanya kazi, anayezidisha mipaka atashughulikiwa kwa namna ya kuogofya ili iwe funzo kwa wengine.
Hakuna kuchekacheka hapa, ni mawili wanyooke wakikaidi hakuna namna, ni watoto wako mwenyewe.
Msiogope. Uanaume ni ujasiri. Jicho lako lisiwe na huruma hata chembe ukiwa kama baba/mwanaume.
Taikon nami ni baba, haya tutayaonesha kwa vitendo ili iwe case study kwa wengine, ili isije semwa na watu kuwa anaandika au kuongea tuu.
Ni yule Mtibeli, kutoka nyota ya Tibeli. Mnyanyembe wa Tabora.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Hii tuna print tunaweka ndani kusaidia hiki kizazi chetu, mtoto wa kiume akiwa anasoma anajua mimi ni mwanaume