Bahati mbaya mimi sio muandishi Mzuri kama wewe lakini nadhani ni bora zaidi kumfundisha mtoto sio tu kuwa na muscles za mwilini Ila pia mental, emotional and financial muscles.
Mahitaji ya dunia ya zamani yalihitaji misuli zaidi kuliko hisia na akili Ila kwa sasa, muscles zinaenda kutumika kwa uchache sana na hivyo mtoto anakiwa kuandaliwa kiakili, kihisia na kifedha.
Ukishindwa kufanya haya na ukategemea unayoyafikiri bhasi utajenga ukuta mkubwa sana na familia yako ambao utakuangukia wewe mwenyewe kwa sababu ukikuza familia yenye uwoga na hofu, bhasi hiyo furaha na kukubalika watakutafuta hukoomat nje and guess what, ni salama karibu yako kuliko huko mtaani utakapowapoteza
Brother hatupo 1960's, hayo malezi hayo yalifaa miaka hiyo Ila kwa sasa lazma ukubali kuyatwist kidogo yaendane na mazingira ya sasa. Kumbuka wakati ni ukuta, kamwee huwezi kushindana nao