PostGE2025 Vijana wajinga walikuwa wanasubiri jeshi lichukue nchi na kumuondoa Samia kwa amri ya Mange Kimambi

PostGE2025 Vijana wajinga walikuwa wanasubiri jeshi lichukue nchi na kumuondoa Samia kwa amri ya Mange Kimambi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'.

Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo.

Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi.

Vijana wa Tanzania waliamini kwa 80%-90% au zaidi kuwa Tarehe 29 September jeshi la ulinzi lingekwenda kuipindua serikali ya Samia.

Vijana wajinga wajinga waliamini kuwa Mkunda naye anamsikiliza Mange kimambi na anakwenda kufanya sawa sawa na matakwa ya Mange.

Ningekuwa Rais ningewanyoosha sana vijana wajinga wajinga mpaka wangenyooka bara bara.
Yaani Mange yuko zake Marekani kwenye G WAGON alioipata kwa umbea na picha za ngono,, halafu anajiona kama director wa movie hivi anaandaa script na kuelekeza nini kifanyike
 
Back
Top Bottom