Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

Elimu, elimu elimu..
 
Umesema yote aisee Rais Samiai Suluhu alipoingia madarakanai amefanikiwa kupunguza tatizo la ajira nchini kwa asilimia kubwa sana na vijana tumekuwa walengwa wa moja kwa moja wa ajira hizi hakika Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi na hatra wale ambao hawajasoma Rais Samia Suluhu anahakikisha wanapata uwezo wa kujiajiri kupitia mikopo inayotolewa kwa masharti nafuu

Hongera sana Rais Samia Suluhu umeifungua nchi
 
Nashukuru Sana maana umeandika nondo kweli kweli ,kila mtanzania anaona katika uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Tanzania inaendelea kustawi katika kila secta
 
Nipo tayari kuhudhuria hayo maandamano.Mhe.Rais Samia katutoa machozi vijana wengi hakika.Miaka miwili tu Ajira za Kutosha,Huyu mama Wakubwa Zangu Mungu Ambariki,na tunamuombea azidi kuchapa kazi.
 
Samia semaaaa.....semaaaa.....usiogope semaaa, sisi vijana.....hatuogopi wapinzaniii semaaaa
 
Riport ya cag imeonesha upotevu wa trillion moja tanroad,billion 600 ttcl na madudu mengine mengi halafu unasikia mama anapongezwa kwa kipi cha maana
 
Wanafki tu hao
Ajira gan mpya zilizotolewaaa.
Hao ni wahuni wachache ambao wachache wenye dhima amabayo wanajua wao wenyewe
 
Nawashauri tu, wasubiri job placement letter ndio waandamane. Mchuano ni mkali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…