Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

akili yako upupu kinoma, amka kijana paza sauti kwa serikali imetusahu vijana hatuna pa kushika uchawa hautokusaidia zaidi ya kuumiza generation nzima ambao wengine wamekua drug dealers, gays,lesbians ,criminals nk
 
Serikali ndio inatoa ajira
 
akili yako upupu kinoma, amka kijana paza sauti kwa serikali imetusahu vijana hatuna pa kushika uchawa hautokusaidia zaidi ya kuumiza generation nzima ambao wengine wamekua drug dealers, gays,lesbians ,criminals nk
Kwani Nani kakuzuia kupaza sauti yako, utasemaje serikali imewasahau vijana wakati unaona ikitoa maelfu ya ajira? Miradi inayojengwa unajuwa inatoa ajira ngapi kwa vijana? Unafahamu kuwa saiz ukifungua biashara hubuguziwa kwa habari za mapato? Huoni hatua hiyo Ni katika kuwasaidia na kuwawezesha vijana kiuchumi?
 
Weka na namba ya simu ya mumeo/mkeo uliyoweka haipatikani hewani.
 
Nasubiri list ya wataopata
Wala usijari wewe kuwa na Subira tu maana serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia imedhamiria kuleta matumaini na Tabasamu kwenye mioyo ya makundi yotee
 
we endelea kuwa chawa ,huku moyo wako unakusuta
 
Yaani mnatafuta Teuzi kwa nguvu sana , hivi siasa inalipa sana ?

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo namba mbona hupatikani Kuna kazi ya kuogesha mbwa wa polepole(kiroboto)
 
Nchi hii ina wajinga na mazombi wengi sana. Nchi imerudi kwa kasi ya 5G katika zama za adui ujinga.

Kwa hiyo vijana wanaona ajira ni hisani ya Rais na siyo haki yao! Wanaona ni kama vile Rais anawalipa kwa hela za mfukoni mwake na siyo kodi za wananchi ili wakatumiza wajibu wao kwa maendeleo ya nchi.

Aliyeiloga nchi na kuwafanya Watanzania kuwa wajinga na wanafiki nahisi alishakufa.
 
Kwani wangapi na Marais wangapi Barani Afrika wanashindwa kutoa ajira kwa vijana licha ya kukusanya Kodi? Kwanini sisi watanzania na vijana tusimpongeze Rais wetu kwa juhudi zake za kutoa ajira kila wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…