Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

Hujawahi Kuwa na akíli wewe
 
Miaka ilipita watu bila kupata AjirA... Mama anatoA ajirA na Miradi ya kimkakati IkiendelezwA.... watu wapo huru kutoa maoni yao.. kuna watu walimenya MbugA kuhamia nchi za jirani.. leo hali imekua shwari.. wamerudi na kusahau kika kitu.. Wenje ametiA aibu sanA... very shame...
 
Hivi Wenje ni mtu wa Musoma kweli? Jamaa ni bonge la mnafiki.. kaka ake huko alipo anasononeka!!! Sana.. na Yule Mayala... njaaaa. .
 
Ndugu wahitimu tunakumbushana karatasi lenye heshima ni pesa pekee sio vyeti kwa sasa, jaribuni bahati zenu
 
Njaa inakufanya uwe CHAWA
 
Watanzania hatupendi kuambizana ukweli.Jamani ukweli tutasifia na kusema,Mama Samia ni bonge la Rais.Kazi anazofanya ni Kubwa sana.Huyu mama Mungu amlinde hakika
 
Eh kumbe Erythrocyte ni mfanya usafi pale ufipa 😂😂
 
una akili timamu kweli?Ohhh Tanzania nchi yangu😭😭😭
 
Sawa bwana lucus msambwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…