Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

Kila la heri. Ni haki yao.
 
Kuongezewa elf 5 ndio kulete tabasamu kwa muajiriwa si utoto huo 😀😀😀
 
Elimu ni muhimu Mkuu, ujinga ni mzigo!
Kwani ujinga upo wapi hapa katika kuelezea namna mamilioni ya vijana wa nchi hii walivyoridhishwa na utendaji kazi na uchapa kazi wa serikali ya Rais Samia
 
Niko hapa Ilunde wacha nikavune asali baadaye jioni nishuke viunga vya Mapili na Inyonga nikapige vyombo
 
Kwani ujinga upo wapi hapa katika kuelezea namna mamilioni ya vijana wa nchi hii walivyoridhishwa na utendaji kazi na uchapa kazi wa serikali ya Rais Samia
Kwani mi nimesema ujinga uko wapi Mkuu? Lakini hata hivyo kwani wewe hufahamu kwamba nchi hii ina ujinga mwingi?
 
Naona kimya...
Uwe na subira maana maandamano yanaendelea katika mioyo ya mamillioni ya vijana kumpongeza mh Rais kwa kutoa maelfu ya ajira,lakini pia wengi wanaendelea kutuma maombi Yao kabla ya Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi kufika ,huku wale wa mitaani walioajiriwa kupitia miradi mbalimbali ya serikali wakiendelea kumpongeza mh Rais na kusambaza sifa zake kwa shangwe na furaha kubwa sana
 
Mleta mada mjinga tu mimi CCM najua utoaji taarifa taratibu zake na protocol za chama

Mleta mada wasemaji wa mambo ya vijana kwenye CCM hutolewa na uongozi wa vijana iwe taifa ,Mkoa ,Wilaya nk

Wewe sio kiongozi wa Umoja wa vijana unaongea kama nani?

CCM tuna mifumo yetu tofauti na Upinzani ambako kwao mwehu yeyote aweza inuka kuongelea kitu kwa niaba ya chama


Sawa umeamua kuwa Chawa lakini Uchawa uangalie Procol pia Wasemaji wa jumuia ndio wanatakiwa kutamka hilo

Hao vijana unaowasema wewe ni wa tawi gani wilaya gani na mkoa gani na wewe unatamka kwa cheo kipi ulichonacho ndani ya umoja wa vijana wa CCM?

Lini uliteuliwa au kuchaguliwa kuwa msemaji wa UVCCM?
 
Duh naona umemtoa nishai Lucas mwashambwa

Ova
 
Lucas ni msemaji wa kujitolea huko ccm anajitolea kwa SSH

ova
 
Kmmk
 
Mnaandamaniana wapi hebel😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…