Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Watu wengi wanatamani kuanzisha biashara mbalimbali, zenye mitaji ya maelfu, laki, mamilioni n.k
Changamoto inakuja, ni nani wa kumuajiri; au ni nani wa kusimamia hiyo biashara.
Inapotokea ameajiriwa kijana; yule kijana anaanza kuhujumu biashara, kuiba kidogo kidogo ili aende akaanzishe ya kwake; au anaendesha biashara vibaya, na hatimaye biashara kufa.
Hii imekuwa ni pigo kwa watu wengi wenye mitaji, na hatimaye kutowaamini tena vijana.
Kijana anaweza kujitangaza anashida, na anahitaji kazi; baada ya kupata kazi, anaanza kuihujumu au kukupa hasara wewe na familia yako; hii imeathiri vijana wengi kutokuaminika, na pia wenye mitaji kushindwa kufungua biashara au kampuni na kuajiri vijana.
Naona watu wa asia (wahindi) wanaajiri wazee, wakiamini wazee hawana matamanio ya ubathirifu kama vijana.
Nachoweza kushauri vijana; wajitahidi kuwa waaminifu na wachape kazi inavyotakiwa ili kuweza kujiongezea soko la ajira.