jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kazi sana..nilikua na project ya kilimo yule kijana niliyempa usimamizi alichonifanyia hakika yanasikitisha mbaya zaidi ni ndugu wa karibu.
Ebu tushaurianeni nini tufanye mana wengine hatuna muda wa kusimamia projects tupo kwa waajiri tunalinda ajira pia tunatamani kuwa na side hustles ili kujiongezea uchumi.
#MaendeleoHayanaChama
Ebu tushaurianeni nini tufanye mana wengine hatuna muda wa kusimamia projects tupo kwa waajiri tunalinda ajira pia tunatamani kuwa na side hustles ili kujiongezea uchumi.
#MaendeleoHayanaChama