jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hakika, japo wengi hasa hapa Bongo ukiwa muaminifu unaonekana mshamba.Uaminifu ni mtaji
Duuuh hivi hii ni ya kweli? Wapi hapo yanatokea haya?Ni kweli kabisa unachosema imagine kwenye mradi wa mwendo kasi wachina ndo wanawalinda vibarua wa Tanzania wasiibe vifaa wakati mchina anapita mtanzania mradi ni wa nchini kwake ila wanaiba materials.
Hakuna mbongo atakaekufanyia kazi ya kukulimbikizia 200M kwa mwezi kwa malipo ya laki 2/2 halafu utegemee asikuhujumu! Sheli ni mfano tu wa aina ya biashara yenye maslahi makubwa ila ujira mbuzi. Sasa kwanini mtu wa pampu asihujumu ofisi? Wafanyakazi wanakukusanyieni billions mnawalipa laki na nusu kweli?Ni kweli kabisa, wabongo 90℅ hawaajiriki kwa kuwa uaminifu ni 0
Naunga mkono pia hii sio kwa wabongo tu.Hakuna mbongo atakaekufanyia kazi ya kukulimbikizia 200M kwa mwezi kwa malipo ya laki 2/2 halafu utegemee asikuhujumu! Sheli ni mfano tu wa aina ya biashara yenye maslahi makubwa ila ujira mbuzi. Sasa kwanini mtu wa pampu asihujumu ofisi? Wafanyakazi wanakukusanyieni billions mnawalipa laki na nusu kweli?
Ifikie mahali mutambue kuwa mazingira ya kazi yanapelekea sana attitude ya udokozi wa waajiriwa. Mlipe mtu hela ya kutosha pamoja na incentives uone kama kutakuwa na mambo ya kishamba ya udokozi.
Wazungu wanaweza hili ila race zengine zimeshindwa kabisa wakiongozwa na Wachina, Wahindi na Wabongo wenzetu. Mzungu anakulipia Bima ya afya nzuri, anakupa Transport, anakupa Communication allowance yani unapewa kila kitu ambacho kitafanya akili yako itulie ukiwa kazini u concetrate na kazi.
Huwezi sikia kesi za wizi wa kijinga kwenye kampuni za namna hio. Hata kama inatokea ni kwa asilimia chache mno.
Watu wanaiba ili wafidie magepu. Mshahara 150K hajala, hajalipa nauli, hajapeleka mtoto hospitali, hajafiwa, hajafanya maendeleo yoyote wakati gharama za maisha standard ni 1M kwa mwezi. Atafidiaje hio 850K bila kukuibia?
Hamna aisee. mswahili ngozi nyeusi hata umpe mamilioni atakwibia tu. Ona wale waturuki wa SGR wameamua kuleta madereva wao kutoka kwao kwa sababu wanajua mswahili kumwachia lazma akulize mlio. Ukimtuma alete mchanga basi apo trip moja ya mchanga atakuletea ila ujue trip ya pili anapeleka anakokujua yeye na apo bado ajakwibia wese na spea zingine ndogondogo za gari.Hakuna mbongo atakaekufanyia kazi ya kukulimbikizia 200M kwa mwezi kwa malipo ya laki 2/2 halafu utegemee asikuhujumu! Sheli ni mfano tu wa aina ya biashara yenye maslahi makubwa ila ujira mbuzi. Sasa kwanini mtu wa pampu asihujumu ofisi? Wafanyakazi wanakukusanyieni billions mnawalipa laki na nusu kweli?
Ifikie mahali mutambue kuwa mazingira ya kazi yanapelekea sana attitude ya udokozi wa waajiriwa. Mlipe mtu hela ya kutosha pamoja na incentives uone kama kutakuwa na mambo ya kishamba ya udokozi.
Wazungu wanaweza hili ila race zengine zimeshindwa kabisa wakiongozwa na Wachina, Wahindi na Wabongo wenzetu. Mzungu anakulipia Bima ya afya nzuri, anakupa Transport, anakupa Communication allowance yani unapewa kila kitu ambacho kitafanya akili yako itulie ukiwa kazini u concetrate na kazi.
Huwezi sikia kesi za wizi wa kijinga kwenye kampuni za namna hio. Hata kama inatokea ni kwa asilimia chache mno.
Watu wanaiba ili wafidie magepu. Mshahara 150K hajala, hajalipa nauli, hajapeleka mtoto hospitali, hajafiwa, hajafanya maendeleo yoyote wakati gharama za maisha standard ni 1M kwa mwezi. Atafidiaje hio 850K bila kukuibia?
Ni kweli mkuu tunaandaa exit plan tundugu ulipwi mshahara au hujarizika na uo mshahala? na km hujarizika uezi kuwaachia watu kaz yao badala ya kufanya kwa manung'uniko?
Mkuu mimi ni kijana mwaminifu Sana mpaka unaweza kudhani mshamba, nipe nafasi nioneshe uwezo mkuuNiliwaamini vijana fulani tena wengine tulikutana tu kwenye kusanyiko la kidini. Nikajua labda hawa watakuwa na hofu ya mungu basi bwana nikawaachia mradi.
Bwana bwana bwana kilichotokea kitanichukua miaka mingi kumuamini mtu hivhiv hasa awe kijana. nilichojifunza kibongobongo km wew mwenyew huna muda wa kusimamia mradi basi ni bora usianzishe kabisa huo mradi. ama la basi hakikisha mmeo au mkeo anausimamia vinginevo tegemea kupata maumivu.
Vijana wamejaa tamaa mbele km tai na hata hawana hofu ya kijacho kesho.
wanataka mabadiliko ya ghafla, mtu leo anataka atembelee ndinga kali amalize mademu wote apo mtaani.
Kwanini usiniamini ukanipa nafasi mkuu japo kidogo nikaonesha uhaminifu mkuuKazi sana..nilikua na project ya kilimo yule kijana niliyempa usimamizi alichonifanyia hakika yanasikitisha mbaya zaidi ni ndugu wa karibu.
Ebu tushaurianeni nini tufanye mana wengine hatuna muda wa kusimamia projects tupo kwa waajiri tunalinda ajira pia tunatamani kuwa na side hustles ili kujiongezea uchumi.
#MaendeleoHayanaChama
Nipo kijana mwaminifu Sana mkuu niamini nina kiu na kazi na mafanikio kwa hali ninayopitia ninathamini cha mtuNi shida naanza mimi wa kwanza alikuwa mpole sana, daah baada ya mwaka nashangaa madeni dukan wateja hawalipi madeni yao ya bidhaa, kumbe wanalipa anatunza lakini pia anaweza gawana nao hiyo ili nikiwatagute waseme bado wanatafuta, mademu wanapanga folen ofisin kuchukua matumizi, wa pili alisubiri makusanyo ya mauzo akafunga duka akaenda depost kwa wakala hadi leo.
Vijana oyee
Vijana waaminifu tupo ila ndo ivo hatuaminianiNiliwaamini vijana fulani tena wengine tulikutana tu kwenye kusanyiko la kidini. Nikajua labda hawa watakuwa na hofu ya mungu basi bwana nikawaachia mradi.
Bwana bwana bwana kilichotokea kitanichukua miaka mingi kumuamini mtu hivhiv hasa awe kijana. nilichojifunza kibongobongo km wew mwenyew huna muda wa kusimamia mradi basi ni bora usianzishe kabisa huo mradi. ama la basi hakikisha mmeo au mkeo anausimamia vinginevo tegemea kupata maumivu.
Vijana wamejaa tamaa mbele km tai na hata hawana hofu ya kijacho kesho.
wanataka mabadiliko ya ghafla, mtu leo anataka atembelee ndinga kali amalize mademu wote apo mtaani.
Vijana Waminifu tupo na tuna mawazo mazur tu Biashara Shida MitajiHuo ndio ukweli. Huku maofisini watu wana idea na pesa ila wanaogopa nani atasimamia biashara kila kijana mwizi.
Nina mradi wa kimlipa kijana kila siku elfu 10 na posho ya 3 ya chakula. nina mwezi sijapata wa kunishawishi